Tanzanite DUPNaomba kuuliza ni bus gani zuri luxury lenye choo ndani linalo toka Dar kwenda Mwanza.
Asante
Hiyo "ruti ya ushirikina" wenye mabasi wanatoa kafara sana, ukipanda basi sali kwa mungu wa Israel akulinde.Naomba kuuliza ni bus gani zuri luxury lenye choo ndani linalo toka Dar kwenda Mwanza.
Asante
Usiji ukadanganyika hakuna Basi yenye choo ndani kutoka Dar kwenda Mwanza,lakini kwakukusaidia Kama unataka kuwahi panda Ally's Star au Tanzanite/ Dar Lux. Basi lenye full kiyoyozi mwanzo wa safari mpaka mwisho panda Happy Nation.Hayo mengine yote ya kawaida na mwendo wa Kawaida.Tukutakie safari njemaNaomba kuuliza ni bus gani zuri luxury lenye choo ndani linalo toka Dar kwenda Mwanza.
Asante
hujanielewa mkuu nmemaanisha huu izi unawahusu watu wa mwanza sio kama we n mshamba mkuuNiko jamiiforum toka 2009 we wa kolomije ndio ume vamia
Asante broUsiji ukadanganyika hakuna Basi yenye choo ndani kutoka Dar kwenda Mwanza,lakini kwakukusaidia Kama unataka kuwahi panda Ally's Star au Tanzanite/ Dar Lux. Basi lenye full kiyoyozi mwanzo wa safari mpaka mwisho panda Happy Nation.Hayo mengine yote ya kawaida na mwendo wa Kawaida.Tukutakie safari njema
shukrani mkuu tuko pamoja broPoa bro naomba radhi