Ni baki na yupi?

Ni baki na yupi?

Sababu za kuachana na mzazi mwenzio wa kwanza ni zipi?
ilikuwa ugumu wa maisha baada ya kupoteza ajira,
Sababu za mpenzi wako mpya kukataa ndoa kwa wakati huo ni zipi?
alikuwa anadai bado mapema ni subiri Kwanza Kwa kifupi hakuwa na sababu ya kueleweka
Ni kweli mimba imethibitishwa kwa vipimo, je unauhakika ni yako?
mimba imethibitishwa na vipimo, na kuna uwezekano wa 60% ni yangu
NB: Naomba kuwaita wajumbe ili tukushauri kutokana na majibu yako.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
mzazi mwenzangu Kwa SASA yupo vizuri kawa mhumble Sana ananijali sana, ananisaidia Sana
huyu mama kijacho alitaka aache KAZI ni mhudumie na nimtafutie kibiashara kidogo cha kufanya, Kwa sababu ya purukushani za mwendokasi na KAZI anazofanya ni za kusimama MDA mrefu itapelekea mimba kutoka kwani miaka ya nyuma alishawahi kupata hiyo miscarriage, ila uwezo wa kuhudumia Huku na huku sina wakuu,
hapo inatakiwa ni mpige chini mmoja wapo..
 
Kwema wakuu

Kwa wiki kadhaa sasa nimejikuta nikikosa usingizi kutokana na mawazo. Ni hivi:

Nilitengana na mama wa mtoto wangu mwanzoni mwa mwaka 2021. Aliniachia binti yetu wa kike ambaye nimekuwa nikimlea peke yangu. Kwa sasa ana umri wa miaka 7. Tangu hapo nimekuwa nikitegemea msaada wa majirani kwa mambo mbalimbali ya kulea mtoto.

Mwaka jana, takribani mwezi wa saba, nilipata mpenzi mpya. Hatukuwa tunaishi pamoja rasmi—huwa anakuja kwangu na kuondoka. Wakati mwingine anaweza kukaa kwangu hata wiki nzima, lakini pia kuna nyakati tulitengana hadi kufikia miezi mitatu. Mwaka huu kuanzia mwezi wa tatu, alianza kutulia kidogo kwangu.

Tulijaribu mara kadhaa kupata ujauzito lakini hatukufanikiwa. Nilimweleza wazi nia yangu ya kutaka kumuoa, lakini alikuwa ananiambia hayuko tayari kwa sasa. Wakati huo, nilikuwa nimechoka sana kuishi maisha ya upweke bila mke. Nilijaribu hata kutafuta mwenza kupitia mitandao, lakini haikufanikiwa.

Mpaka siku moja nikampigia simu mama mtoto wangu na nikamueleza nia yangu: kwamba turudiane, tulee mtoto wetu pamoja na tuongeze familia. Alikubali, akaja, tukasameheana na maisha yaliendelea vizuri.

Lakini kabla hata mwezi haujaisha tangu turudiane na mama mtoto, mpenzi wangu wa zamani alianza kunisumbua akisema ni mjamzito. Baada ya vipimo, ikathibitika kweli ni mjamzito.

Kinachonipa mawazo sasa ni hivi:
Mpenzi huyo amesema anataka kuutoa ujauzito huo kwa sababu hawezi kumzaa mtoto ambaye hatakuja kuishi na baba yake. Kwa upande mwingine, mimi sina uwezo wa kiuchumi wa kumudu maisha ya wanawake wawili. Hali hii imenichanganya sana, na ndio chanzo cha mawazo yanayoninyima usingizi.

Sijui nifanyaje wakuu nishaurini
Baada ya kuachana muda gani ulipita ndiyo anakujuza ni mjamzito?..mbona kama anakuvika kanzu?, alivyokataa kuolewa na wewe kuna mpuuzi huko alikuwa anamdanganya, ashatoswa huko ndiyo karudi kwako bwege mtozeni...
 
Kwema wakuu

Kwa wiki kadhaa sasa nimejikuta nikikosa usingizi kutokana na mawazo. Ni hivi:

Nilitengana na mama wa mtoto wangu mwanzoni mwa mwaka 2021. Aliniachia binti yetu wa kike ambaye nimekuwa nikimlea peke yangu. Kwa sasa ana umri wa miaka 7. Tangu hapo nimekuwa nikitegemea msaada wa majirani kwa mambo mbalimbali ya kulea mtoto.

Mwaka jana, takribani mwezi wa saba, nilipata mpenzi mpya. Hatukuwa tunaishi pamoja rasmi—huwa anakuja kwangu na kuondoka. Wakati mwingine anaweza kukaa kwangu hata wiki nzima, lakini pia kuna nyakati tulitengana hadi kufikia miezi mitatu. Mwaka huu kuanzia mwezi wa tatu, alianza kutulia kidogo kwangu.

Tulijaribu mara kadhaa kupata ujauzito lakini hatukufanikiwa. Nilimweleza wazi nia yangu ya kutaka kumuoa, lakini alikuwa ananiambia hayuko tayari kwa sasa. Wakati huo, nilikuwa nimechoka sana kuishi maisha ya upweke bila mke. Nilijaribu hata kutafuta mwenza kupitia mitandao, lakini haikufanikiwa.

Mpaka siku moja nikampigia simu mama mtoto wangu na nikamueleza nia yangu: kwamba turudiane, tulee mtoto wetu pamoja na tuongeze familia. Alikubali, akaja, tukasameheana na maisha yaliendelea vizuri.

Lakini kabla hata mwezi haujaisha tangu turudiane na mama mtoto, mpenzi wangu wa zamani alianza kunisumbua akisema ni mjamzito. Baada ya vipimo, ikathibitika kweli ni mjamzito.

Kinachonipa mawazo sasa ni hivi:
Mpenzi huyo amesema anataka kuutoa ujauzito huo kwa sababu hawezi kumzaa mtoto ambaye hatakuja kuishi na baba yake. Kwa upande mwingine, mimi sina uwezo wa kiuchumi wa kumudu maisha ya wanawake wawili. Hali hii imenichanganya sana, na ndio chanzo cha mawazo yanayoninyima usingizi.

Sijui nifanyaje wakuu nishaurini
Hizo pimbi zote mbili ulitakiwa uzipige chini, alafu unaonekana hujiamini sijui ni suala la pesa au una mwonekano wa kuliza watoto, kama unajiamini usingekuwa unachezewa kama kitenis na hayo mazombie yako.
 
ilikuwa ugumu wa maisha baada ya kupoteza ajira,

alikuwa anadai bado mapema ni subiri Kwanza Kwa kifupi hakuwa na sababu ya kueleweka

mimba imethibitishwa na vipimo, na kuna uwezekano wa 60% ni yangu

mzazi mwenzangu Kwa SASA yupo vizuri kawa mhumble Sana ananijali sana, ananisaidia Sana
huyu mama kijacho alitaka aache KAZI ni mhudumie na nimtafutie kibiashara kidogo cha kufanya, Kwa sababu ya purukushani za mwendokasi na KAZI anazofanya ni za kusimama MDA mrefu itapelekea mimba kutoka kwani miaka ya nyuma alishawahi kupata hiyo miscarriage, ila uwezo wa kuhudumia Huku na huku sina wakuu,
hapo inatakiwa ni mpige chini mmoja wapo..
Kwa sasa hali yako kiuchumi ikoje?

Kutumia mimba kama sababu ya kutaka ndoa inaweza kuwa hatari baadae, huenda lengo si ndoa ila lengo lake ni mtoto asikose malezi ya wazazi wake(ni lengo zuri kimalezi).

Je imani yako inaruhusu mke zaidi ya mmoja?
 
Kwema wakuu

Kwa wiki kadhaa sasa nimejikuta nikikosa usingizi kutokana na mawazo. Ni hivi:

Nilitengana na mama wa mtoto wangu mwanzoni mwa mwaka 2021. Aliniachia binti yetu wa kike ambaye nimekuwa nikimlea peke yangu. Kwa sasa ana umri wa miaka 7. Tangu hapo nimekuwa nikitegemea msaada wa majirani kwa mambo mbalimbali ya kulea mtoto.

Mwaka jana, takribani mwezi wa saba, nilipata mpenzi mpya. Hatukuwa tunaishi pamoja rasmi—huwa anakuja kwangu na kuondoka. Wakati mwingine anaweza kukaa kwangu hata wiki nzima, lakini pia kuna nyakati tulitengana hadi kufikia miezi mitatu. Mwaka huu kuanzia mwezi wa tatu, alianza kutulia kidogo kwangu.

Tulijaribu mara kadhaa kupata ujauzito lakini hatukufanikiwa. Nilimweleza wazi nia yangu ya kutaka kumuoa, lakini alikuwa ananiambia hayuko tayari kwa sasa. Wakati huo, nilikuwa nimechoka sana kuishi maisha ya upweke bila mke. Nilijaribu hata kutafuta mwenza kupitia mitandao, lakini haikufanikiwa.

Mpaka siku moja nikampigia simu mama mtoto wangu na nikamueleza nia yangu: kwamba turudiane, tulee mtoto wetu pamoja na tuongeze familia. Alikubali, akaja, tukasameheana na maisha yaliendelea vizuri.

Lakini kabla hata mwezi haujaisha tangu turudiane na mama mtoto, mpenzi wangu wa zamani alianza kunisumbua akisema ni mjamzito. Baada ya vipimo, ikathibitika kweli ni mjamzito.

Kinachonipa mawazo sasa ni hivi:
Mpenzi huyo amesema anataka kuutoa ujauzito huo kwa sababu hawezi kumzaa mtoto ambaye hatakuja kuishi na baba yake. Kwa upande mwingine, mimi sina uwezo wa kiuchumi wa kumudu maisha ya wanawake wawili. Hali hii imenichanganya sana, na ndio chanzo cha mawazo yanayoninyima usingizi.

Sijui nifanyaje wakuu nishaurini
Mkuu umesema kuwa maisha yako mara nyingi yanategemea michango ya wahisani. Hata ukioa wake 2 haitakuwa shida kwa kuwa wahisani wataendelea kukuchangia mkuu. Usitoe mimba na wala usimwache huyo mwanake. Endelea naye.
 
Nyie ndo wale mnaojinenepea hovyo kiasi Cha kufanana na pipa au jaba maana hakuna mnachowaza.nyie mkila,kunya na kushiba tu ni kuwaza vitu vya kipumbavu tu na hamna mnaloliwaza kuhusu taifa linaloangamia
Punguza ukali wa maneno
 
Kwema wakuu

Kwa wiki kadhaa sasa nimejikuta nikikosa usingizi kutokana na mawazo. Ni hivi:

Nilitengana na mama wa mtoto wangu mwanzoni mwa mwaka 2021. Aliniachia binti yetu wa kike ambaye nimekuwa nikimlea peke yangu. Kwa sasa ana umri wa miaka 7. Tangu hapo nimekuwa nikitegemea msaada wa majirani kwa mambo mbalimbali ya kulea mtoto.

Mwaka jana, takribani mwezi wa saba, nilipata mpenzi mpya. Hatukuwa tunaishi pamoja rasmi—huwa anakuja kwangu na kuondoka. Wakati mwingine anaweza kukaa kwangu hata wiki nzima, lakini pia kuna nyakati tulitengana hadi kufikia miezi mitatu. Mwaka huu kuanzia mwezi wa tatu, alianza kutulia kidogo kwangu.

Tulijaribu mara kadhaa kupata ujauzito lakini hatukufanikiwa. Nilimweleza wazi nia yangu ya kutaka kumuoa, lakini alikuwa ananiambia hayuko tayari kwa sasa. Wakati huo, nilikuwa nimechoka sana kuishi maisha ya upweke bila mke. Nilijaribu hata kutafuta mwenza kupitia mitandao, lakini haikufanikiwa.

Mpaka siku moja nikampigia simu mama mtoto wangu na nikamueleza nia yangu: kwamba turudiane, tulee mtoto wetu pamoja na tuongeze familia. Alikubali, akaja, tukasameheana na maisha yaliendelea vizuri.

Lakini kabla hata mwezi haujaisha tangu turudiane na mama mtoto, mpenzi wangu wa zamani alianza kunisumbua akisema ni mjamzito. Baada ya vipimo, ikathibitika kweli ni mjamzito.

Kinachonipa mawazo sasa ni hivi:
Mpenzi huyo amesema anataka kuutoa ujauzito huo kwa sababu hawezi kumzaa mtoto ambaye hatakuja kuishi na baba yake. Kwa upande mwingine, mimi sina uwezo wa kiuchumi wa kumudu maisha ya wanawake wawili. Hali hii imenichanganya sana, na ndio chanzo cha mawazo yanayoninyima usingizi.

Sijui nifanyaje wakuu nishaurini

You seem to be a weakest man.

Mwambie kuwa akitoa mimba anaweza asipate mtoto Kama alivyo wema sepetu , Diva n.k

So mwambie kuzaa ni kwa faida yake na sio yako.

Ila nchi yetu imberakiwa watu wajinga sana
 
Back
Top Bottom