Ni App gani hutumika kuchora ramani?

Ni App gani hutumika kuchora ramani?

mapundapetro

Member
Joined
Dec 5, 2016
Posts
38
Reaction score
17
Habarini wakuu,

Rejea mada tajwa hapo juu.

Nataka kujua ni app gani hutumika kuchorea ramani
 
Zinazotumika sana ni ArcGIS (hii ni ya kulipia) au QGIS (Hii unatumia bure). Ila inabidi ule msuli wa mambo ya GIS (Geographical Information Systems) kabla hujaanza kuchora hizo ramani, zama YouTube utapata maarifa ya kutosha.
 
Back
Top Bottom