Ni ajali lakini....!

Haaa! Basi limetengenezwa kwa maboksi!
 
Basi la kiHindi aina ya TATA limepwelea kwenye pikipiki ya kiJapani aina ya HONDA.

Mkuu unaleta ujumbe gani?

Hahahaha
basi la

Kihindi
kichina
kizungu
kiarabu
kijapani
kikorea
kiafrica
etc.
 
Nahisi basi lilikua limesimama afu pikipiki ikarudi reverse ndo yakatokea maafa
 
Jamani hapana mfumo wa tairi mbili hauruhusu mechanism ya reverse labda kwa tech ya kisasa ambayo hata hivyo inabidi modifications
Usijali kuhusu hili, itawezekana tu, mbona redio kaseti ina vigurudumu viwili lakini unaweza ku rewind kanda.
 
Usijali kuhusu hili, itawezekana tu, mbona redio kaseti ina vigurudumu viwili lakini unaweza ku rewind kanda.

Hahhahaaaaa usitoe mfano mwingine yatakuwa mengine kwa watu wengine wenye mawazo mengine...!
 
Chiu pikipiki haina gear ya reverse

mkuu mshana itabidi ukubaliane na Mimi katika Hilo maana sielewi inakuaje basi liwe hivo afu pikipiki ibaki salama.maana naona kama dereva WA basi hakutoka salama kwa jinsi ilivo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…