Ni ajabu na ni kweli

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
Nimekubali ni ajabu na kweli kwa kijana mwenye umri wa miaka 13, kuweza kumuokoa mtu mzima.

Inatufundisha kwa kila jema ulilofanya/unalofanya utalipwa hata kama si kwa yule uliomfanyia/uliomtendea jema, utalipwa tu hata ikiwa kupitia kwa mtu mwingine
 
Huyu atakuwa ni mchungaji wa kondoo akataka kutembea juu ya maji ili baadaye aombe sadaka maana siku hizi ndo dili la maisha ya mjini
 
Sijui kwa nini sikupendi wala sikufagilii

kwa sababu si lazima kupendwa wala kufagiliwa na kila mtu... na ikitokea hivyo nitakuwa na tabia mbaya na chafu ya kujipendekeza jambo amabalo sina na wala siwezi...... ni vizuri ukaendelea kutonipenda ni jambao la heri pia ..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…