View attachment 1951250
Sp-1002 ndio model yake
2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida
Hizi ni takataka kabisa..Sundar
shukran sana boss
hivi hizi channels 2.1, 5.1 na 7.1 tofauti yake ni nn?
Nyingi ya hizi huwa ni home theaterSpecification
Kuelezea aina ya music system unayonunua
2.1 maana yake itakua na surround mbili na na bass moja ile inayodunda
5.1 itakua na surround5 na bass moja
7.1 hivyo hivyo
2.0 ni HIFI SOUND SYSTEM
Asante mtaalamSpecification
Kuelezea aina ya music system unayonunua
2.1 maana yake itakua na surround mbili na na bass moja ile inayodunda
5.1 itakua na surround5 na bass moja
7.1 hivyo hivyo
2.0 ni HIFI SOUND SYSTEM
Bless manAsante mtaalam
Nyingi ya hizi huwa ni home theater
Dar si bora AbroaderSundar
Huko Unapata Changamoto Nunua SonyDar si bora Abroader
Mtu unayeujua mziki, huwez nunua hizo taka taka zinaitwa saboofa.
Tafuta Sea Piano
Zingatia kiwango cha fedha alichotaja mhusika, Chini ya (au kwa) 200KNunua Sony
yaani katikati ya laki 1 mpaka laki mbili. isizidi laki mbili.
Hii nami naiunga mkono.matatizo sea piano