Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

Ukizeeka utakuwa mchawi!Ccm ndio zao la yote yaliyoikumba nchi hii,na bado mnayalinda huku yakitukana watanzania hadharani!
 
Chadema iliyokuwa tumaini kwa wanyonge iliondoka na dr slaa, hii ya sasa ni Mungu mwenyewe anajua
...Siku zote tumaini liko kwa mola wetu na kamwe si kwa mwanadamu. Kujitoa unyonge kunaanzia kwako mwenyewe na si kwa hawa wachumia tumbo wa mikataba feki ya makanikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri mfumo wetu wa utoaji haki unatenda/ungetenda haki kwa hili?

Pia tija gani ingepatikana ikiwa Rais akishatangazwa matokeo hayahojiwi?

Mwenye akili akipima n.a. kujiridhisha hasara ni kubwa kuliko faida hawezi kung'ang'ania kitu anaacha! Busara inatawala.

Kumbuka pia mashitaka mengine yanategemea "ridhaa"ya mamlaka zingine ili yasimame. Swali: mamlaka hiyo ingetoa ushirikiano?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kwa nini ulime shamba ili hali una uhakika hutavuna.Ni mvivu tu au mlalamikaji atatoa majibu hayo. Busara inakutaka uchukue tahadhari kabla ya kuwekeza.Ni mpuuzi tu anayekwamisha na kikwazo kile kile mara 3 mfululizo na bado analalamika.Ni sawa na hadithi ya sizitaki mbichi hizi.
 
Hoja nzuri.Hebu shauri wabunge pia wasihangaike na bajeti hewa wanayotumia muda na rasilmali nyingi ambayo haitekelezwi hata kwa 40%!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom