GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,122
- 2,263
Ni aibu na Fedheha
kuipenda Ccm.
Ufisadi umetamalaki
Ubabe umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa wasaini mikataba mibovu
umeshika mizizi
rushwa imeota mizizi
Uibaji wa kura na kutumia wajinga kweny chaguzi kuu.
Kupendwa na mazezeta walioathirika na vumbi la makinikia.
Jamani wadau ongezen ili mtoa thread aelewe, labda atapona.
CCM NI AIBU.