Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

Chadema iliyokuwa tumaini kwa wanyonge iliondoka na dr slaa, hii ya sasa ni Mungu mwenyewe anajua
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.




Sijawahi kukubaliana na matokeo ya tafiti za TWAWEZA,lakini matokeo ya utafiti wao wa hivi karibuni na aina ya hoja ziletwazo na "makinikia" ya Lumumba,nashawishika kuyakubari matokeo ya utafiti wao yaliyosema kuwa ccm inakubalika zaidi miongoni mwa jamii za wajinga,wapumbavu,wavivu wa kufikiri na watu duni kabisa wawezao kurubuniwa kwa kupewa kipande cha khanga na sinia la ubwabwa.

Upumbavu na umasikini wa watanzania walio wengi ndiyo mtaji wa ccm na serikali yake.Akili zilizoathiriwa na vumbi la makinikia,haziwezi kamwe kufikiri sawa sawa zaidi ya kuishia kupiga makofi na vigeregere kwa kila upuuzi utakaoibuliwa na wanaojiita viongozi.

Hivi wanaojiita viongozi ambao wametokana na kuchaguliwa na aina ya watu kama huyu mleta mada,hawaoni aibu kujiita viongozi?Ni fedheha sana kujiita kiongozi huku uongozi wako umeupata kwa kuchaguliwa na watu wenye nakisi ya ubongo na wanaofikiri kwa kiwango hiki cha mleta mada,hii ni aibu sana.

Kiongozi aliyechaguliwa na mazezeta wa aina hii hawezi kubeba matamanio ya watanzania katika kufikia Maendeleo ya kweli,ataishia kupiga sanaa tu kwa sababu anaamini "misukule" anayoiongoza haiwezi kuhoji chochote zaidi ya kuishia kukenua meno tu na kumjambia.
 
Sikukuu yote hii watu wanatafuta watukanwe mitusi ya nguoni ndiyo walale kwa amani maana kama ni hoja za kujadili hapa hapana hoja.Ngoja uyaoge ili ulale kwa amani ndugu.
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
Acha kuharibu usiku kwa mada ya kinaaa ka hìii
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
CCM inasambaratika na kufa wakati wowote kuanzia sasa! Stay tuned.
 
Chadema iliyokuwa tumaini kwa wanyonge iliondoka na dr slaa, hii ya sasa ni Mungu mwenyewe anajua
Chama ni mfumo siyo MTU!Ni maoni yako yana haki kuheshimiwa!Slaa alikuwa na wabunge,halmashauri na majiji mangapi!Imagine kama siasa zingekuwa kama 2005-15!Bunge lingekuwa live je?
 
Kwa MAZUZU kama wewe ambao kitu kilichosemwa na Kamanda Lissu miaka 20 iliyopita kuhusu mikataba fisadi ya madini nchini Bunge la MACCM lote na mafisadi Mkapa na Kikwete wote wakakidharau! Leo MAZUZU nyinyi kwa kuwa kimesemwa na ShilawaDU eti mnamuona shujaa mkubwa na mnataka kuandamana eti kumpongeza shujaa uchwara!
Huyu jamaa kila analogusa hatimizi bali anaangukia kwenye uchwara. Udikteta in uchwara, madawa in uchwara, uchumi wa viwanda uchwara, elimu uchwara, orodha inaendelea
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
haya uliyotaja kwani yanafanywa au yamefanywa na chadema, mbona naona yote ni madhambi ya ccm ambayo imetufikisha hapa tulipo,
 
Back
Top Bottom