Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

Ni wapumbavu tu hudhani chama cha upinzani hurudisha maendeleo nyuma

huwezi jua
 
U
Sijawahi kukubaliana na matokeo ya tafiti za TWAWEZA,lakini matokeo ya utafiti wao wa hivi karibuni na aina ya hoja ziletwazo na "makinikia" ya Lumumba,nashawishika kuyakubari matokeo ya utafiti wao yaliyosema kuwa ccm inakubalika zaidi miongoni mwa jamii za wajinga,wapumbavu,wavivu wa kufikiri na watu duni kabisa wawezao kurubuniwa kwa kupewa kipande cha khanga na sinia la ubwabwa.

Upumbavu na umasikini wa watanzania walio wengi ndiyo mtaji wa ccm na serikali yake.Akili zilizoathiriwa na vumbi la makinikia,haziwezi kamwe kufikiri sawa sawa zaidi ya kuishia kupiga makofi na vigeregere kwa kila upuuzi utakaoibuliwa na wanaojiita viongozi.

Hivi wanaojiita viongozi ambao wametokana na kuchaguliwa na aina ya watu kama huyu mleta mada,hawaoni aibu kujiita viongozi?Ni fedheha sana kujiita kiongozi huku uongozi wako umeupata kwa kuchaguliwa na watu wenye nakisi ya ubongo na wanaofikiri kwa kiwango hiki cha mleta mada,hii ni aibu sana.

Kiongozi aliyechaguliwa na mazezeta wa aina hii hawezi kubeba matamanio ya watanzania katika kufikia Maendeleo ya kweli,ataishia kupiga sanaa tu kwa sababu anaamini "misukule" anayoiongoza haiwezi kuhoji chochote zaidi ya kuishia kukenua meno tu na kumjambia.

Umeongea vizuri maana wenye akili wamewachagua wenye akili zaidi yao,akina Sugu,Lema,Pro.J maana hawa wana uelewa zaidi wa kubadili gia angani na kuwatakasa waliowachafua wenyewe.Mnaonaje kwa manufaa ya kuondoa malalamiko ya kuibiwa kura na mazezeta mkawaelimisha ili mlioelimika msidhalilishe wasomi wenzenu kwa kuibiwa na misukule.

Kama kura za wasomi zinaibiwa na misukule wasomi hawa wakikabidhiwa nchi zezeta watabaki salama kweli?
 
h

Hivi waliokamata vijana waliokuwa wanajumlisha kura za chadema waliwapeleka kwenye vyombo vya haki au?
 
Sijawahi kukubaliana na matokeo ya tafiti za TWAWEZA,lakini matokeo ya utafiti wao wa hivi karibuni na aina ya hoja ziletwazo na "makinikia" ya Lumumba,nashawishika kuyakubari matokeo ya utafiti wao yaliyosema kuwa ccm inakubalika zaidi miongoni mwa jamii za wajinga,wapumbavu,wavivu wa kufikiri na watu duni kabisa wawezao kurubuniwa kwa kupewa kipande cha khanga na sinia la ubwabwa.

Upumbavu na umasikini wa watanzania walio wengi ndiyo mtaji wa ccm na serikali yake.Akili zilizoathiriwa na vumbi la makinikia,haziwezi kamwe kufikiri sawa sawa zaidi ya kuishia kupiga makofi na vigeregere kwa kila upuuzi utakaoibuliwa na wanaojiita viongozi.

Hivi wanaojiita viongozi ambao wametokana na kuchaguliwa na aina ya watu kama huyu mleta mada,hawaoni aibu kujiita viongozi?Ni fedheha sana kujiita kiongozi huku uongozi wako umeupata kwa kuchaguliwa na watu wenye nakisi ya ubongo na wanaofikiri kwa kiwango hiki cha mleta mada,hii ni aibu sana.

Kiongozi aliyechaguliwa na mazezeta wa aina hii hawezi kubeba matamanio ya watanzania katika kufikia Maendeleo ya kweli,ataishia kupiga sanaa tu kwa sababu anaamini "misukule" anayoiongoza haiwezi kuhoji chochote zaidi ya kuishia kukenua meno tu na kumjambia.
kubshana na viumbe ambavyo..mungu amevipa akil ya kuvukia barabara tu utapoteza muda na kujchosha tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h

Hivi waliokamata vijana waliokuwa wanajumlisha kura za chadema waliwapeleka kwenye vyombo vya haki au?

Kwa kuwa CHADEMA ndiyo inayoamini kuwa hawakutendewa haki ilikuwa na wajibu yenyewe kuwashtaki waliowaonea.Kama wanaweza kujitetea katika maeneo mengine wanayoamini wanaonewa na wanpata ushindi mahakamani nini kiliwazuwia katika hali kwenda mahakamani?

Baadhi ya vijana hao wanaotetewa kuwa walionewa mmoja wao alionewa zaidi kiasi cha kufukuzwa nchini.Waajiri wake walikuwa na jukumu la kumasaidia kupata haki yake mahakamani ili arudishiwe " utanzania wake".
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
IMG_20170724_140835_307.jpg
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
Maadamu umejitambua mapema..... Achana na sisi tuendelee kuipata aibu hii......wewe uwe mbali nasi kabiiiii
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
Km mlimuita tumbili mtu anaefichua wizi mnashindwaje kukikashifu chama king lichomlea,ndo zenu magwambara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
Kama ilivyo aibu nafedheha kuipenda ccm

In God we trust
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
CCM NI FEDHEHA

In God we trust
 
Chadema iliyokuwa tumaini kwa wanyonge iliondoka na dr slaa, hii ya sasa ni Mungu mwenyewe anajua
Ccm iliyoaminika kwa watanzania ilishakufa na baba wa taifa

In God we trust
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
Washabiki wengi wa CHADEMA na UKAWA wamebaki huko kwa sababu ya kuona aibu kurudi CCM. Wanakomaa kwa aibu zao!
 
Back
Top Bottom