KWA USHABIKI NA UNAZI NI KWELI, REALITY KUNA SEHEMU PIA AMEMSHINDA DOKTA, THEN JE YEYE HAKUWA AKIGOMBEA URAIS??? je kule ambako dokta hakupata kura hata moja???:smile-big: au nako Kuga amechakachuwa???:smile-big:..jamani huyu Peter Mziray mimi namuona kama ni mgombea binafsi vile.
..sasa nimeshtuka kwamba kuna majimbo ambayo ameweza kuwashinda wagombea wa vyama established kama NCCR,CUF,na TLP.
..i mean haistahili kabisa kwa mgombea anayejaribu kushika madaraka ya dola kushindwa ktk jimbo hata moja na mgombea wa chama cha kwenye briefcase kama Peter Mziray.
WACHA USHABIKI NA UZANDIKI, je kule alikomshinda Dokta unasemaje???:smile-big: au nako Kuga amechakachuwa???:smile-big:
As of yesterday:
Presidential poll results at 10.30Pm
Candidate Party Votes %
P.Mziray APPT 50,675 1.4
J.Kikwete CCM 2,469,507 68.2
W.SLAA CHADEMA 736,366 20.3
I.LIPUMBA CUF 308,597 8.5
H.RUNGWE NCCR 10,120 0.3
M.MUHUNYWA TLP 6,994 0.2
F.DOVUTWA UPDP 4,321 0.1
SPOILT 74,138 2.0
TOTAL VOTES 3,660,718
Bado Niponipo,
..sasa mpaka sasa hivi si aibu kubwa kwa chama kama NCCR,TLP,na UDP?
..lakini mimi sijaangalia matokeo ya ujumla.
..kuna matokeo ya majimbo yaliletwa hapa nikakuta kuna maeneo Mziray anashika nafasi ya tatu.
..hicho ndicho kilichonisukuma mimi kuweka bandiko hili.
Joka kuu, embu angalia mahala ambako hakuna vigango utaona kilichotokea:smile-big:Mwanamageuko,
..actually so far sijaona mahali ambapo Dr.Slaa ameshindwa na Kuga Mziray.
..kwa kweli kama kuna eneo ambalo atakuwa ameshindwa basi itanipunguzia imani niliyokuwa nayo kwa Dr.Slaa.
..jamani we r talking about losing to Peter Mziray. c'mon now.
Bado Niponipo,
..sasa mpaka sasa hivi si aibu kubwa kwa chama kama NCCR,TLP,na UDP?
..lakini mimi sijaangalia matokeo ya ujumla.
..kuna matokeo ya majimbo yaliletwa hapa nikakuta kuna maeneo Mziray anashika nafasi ya tatu.
..hicho ndicho kilichonisukuma mimi kuweka bandiko hili.
Joka kuu!
Ndiyo demokrasia hiyo kaka, jamaa nimemsikiliza kwenye TV mara moja akiwa anafanyiwa mahojiano naweza eleza machache.
1. He is young and looks young
2. Very composed
3. Exposed, labda ni baada ya kukaa muda mrefu ughaibuni
4. Jamaa ana degree ya Uchumi Kilimo
5. Jamaa alikuwa na sera nzuri na vile vile alifanyiwa mahojiano na vyombo kadhaa, wengine sikuwahi kuwasikia
6. You can tell he's kinda person, who believe what he's preaching.
Jamaa atashika nafasi ya nne, hadi sasa ni number nne akiwa na 1.4% wengine, H.RUNGWE NCCR 0.3%, M.MUHUNYWA 0.2%, F.DOVUTWA UPDP 0.1%
Mwanamageuko said:Joka kuu, embu angalia mahala ambako hakuna vigango utaona kilichotokea
ni kweli kabisa havikuhusika...Mwanamageuko,
..sidhani kama vigango na ukatoliki ilikuwa a significant factor ktk uchaguzi wa mwaka huu.
..Mbulu ni jimbo ambalo ni ngome ya Kanisa Katoliki. jimbo hilo ndiyo kati ya maeneo ya kwanza kuingia ukatoliki ktk Tanganyika.
..katika uchaguzi wa wabunge wa jimbo la Mbulu, mgombea Muislamu amemshinda mgombea Mkatoliki.
..sidhani kama wa-Tanzania waliangalia dini ya mgombea ktk uchaguzi huu.
Mwanamageuko said:ni kweli kabisa havikuhusika...
rejea mgombea wa Karatu (aliyeachiwa Jimbo!!):smile-big: je hapakuwapo mtu mwingine pale anaefaa, namaanisha raia wa kawaida apo:smile-big: (nimetaja kule nyuma.. kuna mzozo baina ya dokta na jimbo kule je haiwezi kuwa sababu???)
As of yesterday:
Presidential poll results at 10.30Pm
Candidate Party Votes %
P.Mziray APPT 50,675 1.4
J.Kikwete CCM 2,469,507 68.2
W.SLAA CHADEMA 736,366 20.3
I.LIPUMBA CUF 308,597 8.5
H.RUNGWE NCCR 10,120 0.3
M.MUHUNYWA TLP 6,994 0.2
F.DOVUTWA UPDP 4,321 0.1
SPOILT 74,138 2.0
TOTAL VOTES 3,660,718