Elections 2010 Ni aibu kwa Wagombea Urais [NCCR,CUF,TLP] kushindwa na Peter Kuga Mziray

"JokaKuu;

Mwanamageuko,

..actually so far sijaona mahali ambapo Dr.Slaa ameshindwa na Kuga Mziray.

..kwa kweli kama kuna eneo ambalo atakuwa ameshindwa basi itanipunguzia imani niliyokuwa nayo kwa Dr.Slaa.

..jamani we r talking about losing to Peter Mziray. c'mon now."


Well sijaona mahala Slaa aliposhindwa na Kuga ila nimeona ambapo Dr Slaa ameshindwa kwa Dovutwa (Mfenesini). Which of the two is better option to you.

Anyway all in all, iyo isikupe tabu it all depend na mazingira.



 
..jamani huyu Peter Mziray mimi namuona kama ni mgombea binafsi vile.

..sasa nimeshtuka kwamba kuna majimbo ambayo ameweza kuwashinda wagombea wa vyama established kama NCCR,CUF,na TLP.

..i mean haistahili kabisa kwa mgombea anayejaribu kushika madaraka ya dola kushindwa ktk jimbo hata moja na mgombea wa chama cha kwenye briefcase kama Peter Mziray.

Ukilinganisha na wagombea hao uliosema kwa mtazamo wangu naona huyu bwana alikuwa na sera nzuri na aliweza kuzielezea vizuri kwa wananchi na katika mikutano yake, pia alifanya kampeni kubwa sana kwa kufika maeneo mengi! Anastahili kabisa kushika hiyo nafasi!
 
..jamani huyu Peter Mziray mimi namuona kama ni mgombea binafsi vile.

..sasa nimeshtuka kwamba kuna majimbo ambayo ameweza kuwashinda wagombea wa vyama established kama NCCR,CUF,na TLP.

..i mean haistahili kabisa kwa mgombea anayejaribu kushika madaraka ya dola kushindwa ktk jimbo hata moja na mgombea wa chama cha kwenye briefcase kama Peter Mziray.
Mziray nina uhakika alipata kura nyingi baada ya kuanza kumpigia Slaa kampeni ,kule mwanza Kuga alimpigia Slaa debe kaMA MNAKUMBUKA HII ILIMFANYA APAte soko na ccm, hawakuchsakachua kura zake akawafunika wenzake
 
asante mkuu kwa data, afu hizo za dk ni baada ya kuchakachulia na sisiem

CCM hapa haipo, tukianza kuiongelea wote mtakuwa kimya kwani nyie wote amewafanya vibaya sana. Ongeeni ya wapinzani na ndio topic iliyopo
 
The Good,

..kama kuna eneo ambalo Dr.Slaa ameshindwa na Dovutwa basi kuna ulazima wa kuhoji mkakati wa kampeni za Dr.Slaa.

..Chadema wanaweza kutoa kisingizio kwamba jimbo hilo ndipo anapotokea Dovutwa. hiyo inaweza isiwe sababu ya kutosha kwasababu JK amelinyakua jimbo hilo.

..pia mgombea yeyote makini hapaswi kushindwa ktk jimbo anakotokea. hali hiyo ikijitokeza basi ni dalili za mwanzo kabisa kwamba mgombea husika atashindwa ktk uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom