Ni aibu kwa CCM kama chama kukaa kimya Report ya CAG

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Mpaka leo viongozi wa CCM wapo kimya juu ya Report ya CAG sio katibu mkuu sio Polepole.

Sijui ndio wamekubaliana na wizi uliofanyika serikalini?

Kwanini wasiikemee serikali kwa wizi au na wenyewe kwa vile wanajua mabilion ya wanachama ?

Viongozi wa CCM acheni vita na CAG jitokezeni mtuambie huu wizi mnausika au watendaji wa Serikali wamewaangusha?
 
Hii report imegonga kotekote ndio maana watu wako kimya. Why?
Sababu hamna uwezo wa kujitetea kwenye hii report. Hakuna kujificha ukweli upo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na akone kutwambia ati tumeibiwa sana, aseme mpaka jana na juzi akiwa raisi ktk utawala wake tunaendelea kuibiwa sana, tena majizi mengine kayateua yeye tangu lile libabu la NEC, lile la polisi, lile la Air tanzania et al... Yanaendeleza upigaji mkubwa was ela za walipa kodi.

Yaibe sana na yaendelee tu sie hatuna uwezo tunamwaachia Allah atadai haki zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana wangu CCM ni serikali,watajibu wateule wa wa idara.CCM itawasimamia kuhakikisha ilani inatekelezwa.
 
Wanatafuta namna ya kuwasingizia Chadema kuwa wanahusika na Ufisadi wote uliotajwa na CAG
 
  • Kicheko
Reactions: prs
Back
Top Bottom