Unatoa wap excuse ya kukosa laptop ukiwa km graduate mzee,amkeni wazeeMkimalizaga chuo mnakuwaga na motto sana ngoja umalize mwaka kitaa utajua kwa nini wenzio wanakuwaga hawana izo laptop
Huu unaoleta ww ni ulemavu wa akili na kupambana kumilik laptop sio ushua,huwez kukosa laptop ya laki 3 ukiwa km uni students ama graduate in all angles uwe mnufaika wa mkopo ama unalipiwa na wazaz tena unakuta kuna watu wanasoma vitu vya ovyo chuo na analipia fee 1.3M kwa miaka 3 knowing anaongeza umri chuo,bora ukitumiwa iyo ada uanze kujishughulisha na harakat za mtaa acha chuoooharafu anasema miaka yote mnayokuwa chuo mnashindwa kuwa na laptop hawa ndio wale wanaopata mkopo na bado wanawadanganya wazazi wao hawapati mkopo wanapewa hela bado na wazazi wao
Nunua mpya kwa laki tano afu km graduate unaishije sehem isiokua na uhakika wa umeme mzee,relocate ASAPAre you serious?
Hivi graduate wote wanatoka maeneo yenye umeme wa uhakika?
Maana anaweza kuwa na laptop yake lakini kwa umeme wa solar betri haina uwezo wa kuchaji laptop. Au umeme usiwepo kabisaa!!!
Na hizo used nyingi ni kama desktop! ! Na hata kama ana laptop bado ataenda tu stationary kuprint kama ni kazi za kuchapa nk. May be awe full occupied
Nadhani hata kwa kutumia simu unaweza kujaribu kufanya baadhi ya vitu kama vile kutumia excel, word nk kwa WPS wakati huo unajipanga kupata njia mbadala!
Wakati niko chuo x, niliwahamasisha sana wanakundi wenzangu kuchapa kazi zao kwa kutumia simu (kwa wasio na laptop) japo inatumia muda mrefu lakini unaokoa zile mia 5 mia 5 za kuchapa. Inabaki kuedit na kuprint! Na unapata uzoefu!
Ila kukosa laptop sio ushamba. Inategemea na mazingira! Usiwape graduate presha za bureee
Tena umwambie giradyueti kwamba kuna tofauti kati ya STATIONARY na STATIONERY.Sawa graduate
Na wewe pia ni graduate etiii!Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.
Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!
Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.
Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.
Ni ujinga na utoto mwingi sana.
Ni tapoon zile wanazotumia wanawake wakiwa periodHivi graduate ndo kidude gani mnieleweshe