Ni aibu Graduates kukosa Laptop

Ni aibu Graduates kukosa Laptop

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.

Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!

Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.

Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.

Ni ujinga na utoto mwingi sana.
 
Mkimalizaga chuo mnakuwaga na motto sana ngoja umalize mwaka kitaa utajua kwa nini wenzio wanakuwaga hawana izo laptop
 
Vp mkuu.....unawashauri....au unawafokea
 
Naona watoto wa vigogo mmeshaanza fujo sasa. Kutokuwa na laptop kwa hao unaosema ni jambo la kawaida sana na ndio sababu inayowatofautisha hao unaowasema na nyie. Kuwa na simu ya 300,000 ni kuwa atapata mawasiliano kwa kupiga, kupokea na kutuma sms na ataingia kwenye kuperuzi inapotokea kutuma maombi ataenda kwenye stationary lkn ukiwa na laptop ya bei hiyo unayosema kuna mambo huwezi kuyapata.
Usipende kutoa povu kwanini watu wanalala na njaa wakati wewe unakula na kusaaza waache maisha ya watu wenye njaa wanayajua wale tu wanaolala na njaa kwa wewe huwezi kuyajua zaidi ya kushangaa
 
Acha ushamba
Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.

Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!

Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.

Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.

Ni ujinga na utoto mwingi sana.
 
Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.

Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!

Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.

Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.

Ni ujinga na utoto mwingi sana.
Are you serious?
Hivi graduate wote wanatoka maeneo yenye umeme wa uhakika?

Maana anaweza kuwa na laptop yake lakini kwa umeme wa solar betri haina uwezo wa kuchaji laptop. Au umeme usiwepo kabisaa!!!
Na hizo used nyingi ni kama desktop! ! Na hata kama ana laptop bado ataenda tu stationery kuprint kama ni kazi za kuchapa, nk. May be awe na kila kitu!

Nadhani hata kwa kutumia simu unaweza kujaribu kufanya baadhi ya vitu kama vile kutumia excel, word nk kwa WPS wakati huo unajipanga kupata njia mbadala!

Wakati niko chuo x, niliwahamasisha sana wanakundi wenzangu kuchapa kazi zao kwa kutumia simu (kwa wasio na laptop) japo inatumia muda mrefu lakini unaokoa zile mia 5 mia 5 za kuchapa. Inabaki kuedit na kuprint! Na unapata uzoefu!

Ila kukosa laptop sio ushamba. Inategemea na mazingira! Usiwape graduate presha za bureee
 
Muhimu hata ikiwezekana uwe na gps na some skillis za vifaa vya Intel na inapatikana ktk thread za chief mkwawa
 
Mkimalizaga chuo mnakuwaga na motto sana ngoja umalize mwaka kitaa utajua kwa nini wenzio wanakuwaga hawana izo laptop
Nilivyomaliza tu Chuo, nilimpa dogo laptop na sijawahi miliki tena..ni hizo simu tu za mtoa mada 250k+, yeye anahisi watu wote wanaitaji milaptop huku mtaani..

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Usitupangie. Chuo nimemaliza na infact sipendelei sana laptop napenda desktop zaidi, desktop yangu nikauza maana situlii sehemu moja hivyo ndio nalazimika ninunue PC. Hela nimetumia wala laptop sijanunua, ninayoitaka sijapata hela yake nimeenda juzi hapo kuicheki nikakutana na bei ndefu sana.
IMG_20220804_102353.jpg

Sipendi kununua vitu ilimradi nionekane. Kama sina hela ya kununua hicho kitu sinunui ilimradi jina, nasubiri nipate hela
 
Ni kw
Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.

Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!

Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.

Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.

Ni ujinga na utoto mwingi sana.
Ni kweli kabisa. Hizi stupid phones haziwezi kutumika for study and research. Mtu msomi anahutaji laptop.
 
Sasa mbona unafoka kwani uliwapa hela za kununulia laptop.Pumbavu wewe
 
Mtaani vijana wetu graduates wengi wanazingua sana. Yaani graduate mzima unakuwa huna laptop kweli? Unathamini kuwa na smartphone ya laki 3 badala ya kununua laptop used ya hata 250,000 au 300,000/=?.

Maombi ya kazi online utafanyaje? Mtu alikupa kazi ndogo ya muda mfupi utafanyaje? Au mpaka uende stationary huko mtaani?!

Miaka yote unayokaa Chuo unashindwa kumiliki laptop used kweli? Kuna PC mpaka za laki 2.

Cha ajabu mtu anakuwa na Infinix Hot 11 ya 350,000, halafu laptop hana.

Ni ujinga na utoto mwingi sana.
Kitu gani smartphone itashindwa kufanya, au hujui kutumia smartphone?
 
Back
Top Bottom