Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Hahahahahahahaha noo yaani asipopokea huwa naona ananidharau na Mimi kunidharau napinga kwa nguvu zote

Sisi wafupi hatupendi dharau
Sio dharau pengine ubizze wa kazi, I wish niwe nakaa nawe ningekuwa napoza hasira zako kwa ushauri.
 
Hahahahahahahaha noo yaani asipopokea huwa naona ananidharau na Mimi kunidharau napinga kwa nguvu zote

Sisi wafupi hatupendi dharau
Jitahidi kutoweka nguvu zote kwa mtu mmoja utakua unaumia kila siku...asipopokea assume yupo busy au ndo tutakupotezea kabisa
 
Jitahidi kutoweka nguvu zote kwa mtu mmoja utakua unaumia kila siku...asipopokea assume yupo busy au ndo tutakupotezea kabisa
Kwahiyo unanishauri nitafute na kidumu pembeni?
 
Kwanini atakuwa anaenjoy?
Siko chuo sa hivi
Nlipokua chuo nlikua na ps4 geto baby alikua anamind sana nkimaliza game naanza cheza naimagine mnakutana wote mnapenda everymans dream...ila nowdays ubize wa kazi nakosa mda kabisa
 
Back
Top Bottom