The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Hii NHS ya Uingereza ikoje?Naona inasifiwa Sana ..je USA hawana kama hiyo? Italy? France? Why hii ya UK inatajwa sana?
Tz tunayo mfano wa huo?
Tunaweza kuwa nayo?
What's so special na hiyo NHS?
Ina operate vipi?Funding?
Private firms kama hiyo?..
Tz tunayo mfano wa huo?
Tunaweza kuwa nayo?
What's so special na hiyo NHS?
Ina operate vipi?Funding?
Private firms kama hiyo?..