NHIF wanaita lini?

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
638
558
Habari zenu wote!

Mi nauliza vipi hawa NHIF majibu wanatoa lini Yale tulifanya pale DUCE tar 11 mwezi wa tatu, mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
mbona kuna mtu ali comment kwamba tayari wame ajiri na therefore IT'S DONE let move on forget about NHIF
 
Wakuu wa hii taasisi si walitumbuliwa juzi kati tu hapa,(aliyekuwa anakaimu ukurugunzi na mtu mwingine pia) sasa watatumbuliwaje?
 
Tushaanza kitambo kazi na mshahara wa mwezi huu tumekula
#utamukunoga
#mtasubirisana
#nyinyisindiomnaandikagavibayahakumbenakazimunatakahapohapo
 
compliance wewe umeyaona wapi mbona kwenye tofuti ya nhif hayapo? au ulikuwa unauliza kama tayari wametoa?
 
compliance wewe umeyaona wapi mbona kwenye tofuti ya nhif hayapo? au ulikuwa unauliza kama tayari wametoa?[
hapa tumbo joto jamani kama kuna mtu ameona majina ya compliance atujuze na pia kuna mwenye update ya enterview za hawa jamaa maana naona wanatoa majina tu bila kutoa utaratibu wowote wa oral enterview ni wapi anatakiwa kwenda kwenye oral
 
Back
Top Bottom