Ni kweli bana wadau wametoa kwenye mwananchi tu mi mwenyewe nimechemsha...Membership officers wametoa majina 29, Compliance officers wametoa 26, Assistant Accountant wametoa 21. Poleni sana waliopotezewa kama mimi..
jamani.samahani. mm nipo kijijini access ya gazeti hakuna naomba msaada tu hata wakuangaliziwa tu nafasi ya membership officer.jina la baraka msigwa km lipo au la.asanteni
hivi hawa watu mpaka leo kimya...kuna mtu ana taarifa zao atusaidie? ni bora watoe majina kama ni kupata au kukosa tujue kuliko kutuweka roho mkononi namna hii
Yaani hawa jamaa sijui utakuaje na wanatakaje manake kama wametufunga kamba macho na misikio yote kwao!! Mie hadi browser ya simu yangu imekariri page yao!!!