NHIF vipi, wameshaita kwa interview?

kimaus

JF-Expert Member
May 10, 2011
565
652
Jamani mbona kimya huko NHIF, mwenye taarifa anijuze km walishaita au bado niendelee kuishi kwa matumaini.
 
nadhani watatangaza nafasi zingine zile wameshazigawa tayari kwa hiyo msiwe mbali na magazeti
 
....mbona sielewi? Watu wanaropoka tu kama wameyashika mkononi. Swali ni je wamesha ita watu kwa interview?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom