kimaus JF-Expert Member May 10, 2011 565 652 Oct 16, 2011 #1 Jamani mbona kimya huko NHIF, mwenye taarifa anijuze km walishaita au bado niendelee kuishi kwa matumaini.
Jamani mbona kimya huko NHIF, mwenye taarifa anijuze km walishaita au bado niendelee kuishi kwa matumaini.
tindikalikali JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,855 1,117 Oct 16, 2011 #2 We bado unawaza habari za NHIF? kimaus said: Jamani mbona kimya huko NHIF, mwenye taarifa anijuze km walishaita au bado niendelee kuishi kwa matumaini. Click to expand...
We bado unawaza habari za NHIF? kimaus said: Jamani mbona kimya huko NHIF, mwenye taarifa anijuze km walishaita au bado niendelee kuishi kwa matumaini. Click to expand...
kimaus JF-Expert Member May 10, 2011 565 652 Oct 16, 2011 Thread starter #3 tindikalikali said: We bado unawaza habari za NHIF? Click to expand... ina maana wa2 walishafanya interview? Km ni hvyo mbona hawakutangaza? Duh, hii bongo!
tindikalikali said: We bado unawaza habari za NHIF? Click to expand... ina maana wa2 walishafanya interview? Km ni hvyo mbona hawakutangaza? Duh, hii bongo!
G Godwine JF-Expert Member Jan 15, 2010 1,371 281 Oct 16, 2011 #4 nadhani watatangaza nafasi zingine zile wameshazigawa tayari kwa hiyo msiwe mbali na magazeti
Baba Erick JF-Expert Member Aug 24, 2011 483 75 Oct 16, 2011 #5 Godwine said: nadhani watatangaza nafasi zingine zile wameshazigawa tayari kwa hiyo msiwe mbali na magazeti Click to expand... acha ktpotonisha jamii
Godwine said: nadhani watatangaza nafasi zingine zile wameshazigawa tayari kwa hiyo msiwe mbali na magazeti Click to expand... acha ktpotonisha jamii
Tanganyika1 JF-Expert Member May 10, 2011 422 86 Oct 17, 2011 #6 ....mbona sielewi? Watu wanaropoka tu kama wameyashika mkononi. Swali ni je wamesha ita watu kwa interview?
....mbona sielewi? Watu wanaropoka tu kama wameyashika mkononi. Swali ni je wamesha ita watu kwa interview?