MKUU UNAMAANISHA AU JOKES MAANA NAONA NAJIBANA DAR HAPA KWA WATU KUSUBIRI. NIHAKIKISHE KAMA KWELI NIRUDI TU KWETU MAANA NAKARIBIA KUWA HOUSEBOY WAKATI KWETU KUNA KILA KITU NA HESHIMA NAPEWA KAMA MTOTO WA KIUMEWanaweza kutoa majina kwenye gazeti kama ushahidi tu ila watu tushariport mkuu
mh we jamaa ulinyakua post gani ? na iyo oral mlifanya lin ? embu tusaidie ili tuachane kufuatilia mambo ya NHIFMbona watu tupo ofisini tayari mkuu,mimi nilinyakua post moja,
Tatizo ni mind set umeweka kwamba mifuko ya jamii na mamlaka wanabebana. Mbna mimi nimepata kazi na simjui mtu yeyotembona utumishi watu wakifeli hawalalamiki? hoja ni uwazi unaotumika katika mchakato wa kuajili.Mimi sina mda wa kupoteza wa kuomba kazi kwenye mifuko ya kijamii
Tatizo ni mind set umeweka kwamba mifuko ya jamii na mamlaka wanabebana. Mbna mimi nimepata kazi na simjui mtu yeyote