NHIF kuna nini?

NHIF kuna nini?

wewe utakuwa miongoni mwa wanufaika wa mfumo wa upendeleo TRA kama huna MTU huwezi kupata kazi kwanza umekurupuka bila kujibu hoja yangu ya msingi kuhusu upendeleo ktk kuajili kwenye taasisi za umma
Hujielewi wewe! Kwanza ni muongo muongo sana.
 
umeshindwa kujibu hoja kalale
Hoja gani wewe ndo unajichanganya muongo! Mimi nataka unithibitishie kuwa TRA wametoa majina tuu iyo juzi...afu hoja ipo kwa mtoa thread wewe huna hoja ni mbishi na muongo muongo
 
Hoja gani wewe ndo unajichanganya muongo! Mimi nataka unithibitishie kuwa TRA wametoa majina tuu iyo juzi...afu hoja ipo kwa mtoa thread wewe huna hoja ni mbishi na muongo muongo
akili yako ilivyo ndogo umeshindwa kuelewa hoja yangu umeng'ang'ania tra kutoa marks acha kujichanganya kama hukuelewa hoja kaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wako
 
akili yako ilivyo ndogo umeshindwa kuelewa hoja yangu umeng'ang'ania tra kutoa marks acha kujichanganya kama hukuelewa hoja kaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wako
Mpumbavu ni wewe uliedanganya watu! Hauko sawa wewe kiazi mbatata
 
mkubwa wanaopita ndio huarifiwa labda kama ulifika kwenye oral ambayo mnakuwaenye wachache
Matokea ya usaili yamesaishwa yote, wanatakiwa waweke hayo matokeo na majina na alama walizopata watu, na kusema kuanzia marks Fulani mpaka Fulani ndio wamefauru kwenye website yao
 
Naomba Magufuli apitie kwenye hizi ofisi maana kuna uozo mwingi sana, ofisi nyingine wamejazana watoto wa shangazi, mjomba, baba mkubwa, baba mdogo, mashemeji, wajukuu wa babu mdogo wakati huku upande mwingine wamejazana watu wa kabila moja tu utazani wapo kwenye vikao vya kimila.............
 
Acha kukurupuka bara interview ilifanywa na NBAA mara haikufanywa na NBAA hakuna cha kutetea watu wengi tunawafahamu hapo trb wameingia kwa kujuana interview nikutimiza matakwa yakisheria tu
tatizo la mbongo kama wewe ndo hilo ukikosa kazi unasingizia upendeleo,kubali umefeli au kwa jina lingine wewe kilaza
 
NHIF wazingulizi yaani wiki mbili mpaka leo ? kero kama hizi viongozi hawazioni jamani mbona mnaboa watu tulitumia pesa nyingi kwa ajili ya usaili
 
Nafasi 8 ni TZS. 3,000,000 × 8 = 24,000,000 It's better kuliko kuajiri Freee. Ha! ha! hawa jamaa wanatoa pesa lakini wana Vigezo Pia...........Komalieni Kazi za Halmashauri zinazotangazwa na Utumishi.
 
Subira yavuta heri. Kuweni na subira vijana huku mkitafuta ajira pahara pengine. Ikitokea umeitwa kwenye oral nenda kafanye. Kama ipo ipo tuuuu..
 
TULIFANYA WATU WENGI NA NAFASI NI CHACHE. PIA MTIHANI WENYEWE HAUTOI NAFASI YA KUPIMA UWEZO WA ZIADA BAINA YA MTU MMOJA NA MWINGINE MAANA MULTIPLE CHOICE NI RAHISI HATA WATU KUTAZAMIANA NA ASSUME HILO LILITOKEA NA WATU ZAIDI YA 1000 WAWE WAMEPATA 100% ORAL INAHITAJI WATU MIA TU UNADHANI NI RAHISI KUPATA WATU MIA KUTOKA KWENYE WATU BUKU WALIOPATA MARKS SAWA TENA YA JUU KABISA. KUFIKIA HAO 100 NDIO KUNAKOCHELEWESHA MCHAKATO NA NDIO HAPO MAMBO YA RUSHWA NA KUJUANA YANAIBUKA MAANA HUWEZI SEMA UKAANGALIE GPA ZAO KWENYE VYETI WAKATI NI WATU WA KADA TOFAUTI UTAKUWA UNAJICHANGANYA LABDA KAMA KAZI INGEKUWA YA WATU WALIOSOMEA KADA MOJA TU. SOMETIMES UPENDELEO NA KUBEBANA NI MATOKEO MAZINGIRA YANAYOZUNGUKA JAMBO HUSIKA. KWA MFANO POST YA COMPLIANCE OFFICER HR ANASEMA HII KAZI YOYOTE ANAWEZA KUFANYA MAANA MAELEKEZO NA UTARATIBU UNAPEWA KAZINI HAKUNA CHUO KINACHOFUNDISHA HII HAPA TZ SASA KATIKA MAZINGIRA HAYO KWANINI MTU ANA NDUGU HALAFU HASIMPIGIE MCHONGO. HUKIKOSA USILAUMU UENDA MAZINGIRA YAMEKUKOSESA JAPO HUKO VIZURI
 
tatizo la mbongo kama wewe ndo hilo ukikosa kazi unasingizia upendeleo,kubali umefeli au kwa jina lingine wewe kilaza
mbona utumishi watu wakifeli hawalalamiki? hoja ni uwazi unaotumika katika mchakato wa kuajili.Mimi sina mda wa kupoteza wa kuomba kazi kwenye mifuko ya kijamii
 
Back
Top Bottom