Habari wana Jamvi,
Mnamo tarehe 07/03/2016-10/03/2016 kulifanyika saili ulioendeshwa na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) na kuahid kutoa mrejesho/matokeo ndani ya wiki mbili
leo mpaka ivi leo hakuna jipya lolote tulilisikia kuhusu taasisi iyo wakitoa majibu ya written interview(Usaili wa kuandika) wakati huo huo mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imeendesha usaili wa kuandika (written interview) tarehe 11/04/2016 na kufanikiwa kutoa majibu tarehe 12/04/2016
Je nini kinashindikana kutoa majibu(Mrejesho) wa written interview NHIF au wanatakata kutuuminisha ile dhana tuliyonayo kuwa usaili huwa unaandeshwa kwa kufata matwaka tu ya kisheria wakati huwa wamepanga ndugu zao??? Kama ni ivyo kuna haja gani ya kuitisha usaili wakati wana watu wao tayari??hawaoni kama wanajitwishwa jukumu la kumsumbua mtoto wa masikini kutoka Musoma/Mbeya/Kigoma na sehemu nyingine nje ya Dsm kuja kufanya kufanya usaili Dar
Watanganyika wenzangu tuwe na huruma huu mfumo wa kutenda ivyo tutakuja kuujibia kwa Mungu kwann humsumbue mtu kuja kwenye usaili akiwa amejibana au kukopa nauli wakati kuna watu wameshaandaliwa???Ile dhana sasa ya kuwa kazi zinatangazwa lakin wana watu wao nimeanza kujiaminia kufatia kucheleweshwa kwa matokeo ya usaili wa Bima ya Taifa ya Afya(NHIF)
Kwa kweli tunahitaji tubadilike vinginevyo damu ya Mnyonge itatutafuna kwa M/mungu
Walichofanya TRA nimefurahishwa sana kutoa majibu kwa wakati muafaka