DOKEZO NHIF itoe ufafanuzi, kwanini kadi za bima zinachelewa kutoka kwa wanafunzi wa vyuo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Bima ya Afya kwa wanafunzi wa Vyuo ni tatizo kubwa.

Mtu unalipia bima Lakini kadi hupati zaidi ya miezi saba. Wanafunzi wamelipa tangu mwezi wa tatu kadi za bima hazijatolewa na ukiuliza wanasema taarifa zimefutika. Ukiandika taarifa upya wanasema taarifa hazifiki lakini control namba za malipo wanakupa na unalipia
 
Hii tabia wameanza lini? Wakati wangu sikuwahi sikia kutoka chuoni kwetu au vyuo vingine wakilalamikia hili.
 
Back
Top Bottom