NHC nyumba kama darasa

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
Hivi ni kwanini nyumba nyingi za kipato cha kati za NHC za makazi zinakuwa na muundo mmoja tuu..yaani nyingi kwa muonekano wa nje ni kama madarasa ya shule ya msingi.

Kiukweli sijui ni kwanini wanajenga ivo, hawana design nzuri au wajenge design tofauti tofauti. Sielewi!
 
Sijalalamika nimeuliza na kushangaa mbona nyumba nyingi ziko ivo...au pengine ndio ID yao inayowatambulisha kwenye jamii wakiona nyumna kama izo wajue zimejengwa na wao
 
Vyumba viwili 40mil no VAT hapo utasema vipi low cost houses
 
Kama wanajenga kwel nyumba za bei rahis waje tukae mezani niwape ramani yangu na wanijengee kwnye plot yngu sio kununua nyumba halaf tunakaa msururu kma manamba....
 
Sijalalamika nimeuliza na kushangaa mbona nyumba nyingi ziko ivo...au pengine ndio ID yao inayowatambulisha kwenye jamii wakiona nyumna kama izo wajue zimejengwa na wao

Nijuavyo mimi NHC hawana nyumba za kipato cha chini wala cha kati, bila wanazo nyumba wanazoziita za kipato cha chini na kati
 
Good observation. Kwanza wanjenga estate, na mara nyingi estate zinakuwa na sura moja. Pili wanauza, lakini wakasahau mnunuzi ana chaguo lake. Design, comfortabilty, aestheic condition, location etc ndio vinapanga bei. Kwa hiyo kujenga madarasa ya shule ya msingi na kuuza bei moja ni upuuzi wa kibiashara, kwa pande zote mbili , yaani mnunuzi na muuzaji. They are not rational. If one becomes rational, at least the outcome can be measured in terms sale proceeding i.e value for money.
 
Good observation. Kwanza wanajenga estate, na mara nyingi estate zinakuwa na sura moja. Pili wanauza, lakini wakasahau mnunuzi ana chaguo lake. Design, comfortabilty, aestheic condition, location etc ndio vinapanga bei. Kwa hiyo kujenga madarasa ya shule ya msingi na kuuza bei moja ni upuuzi wa kibiashara, kwa pande zote mbili , yaani mnunuzi na muuzaji. They are not rational. If one becomes rational, at least the outcome can be measured in terms sale proceeding i.e value for money.

Kwa maneno mengine, NHC hawajui tofauti kati ya estates zao za kupangangisha na za kuuza. Bora zingekuwa high rise, ukauza flats za room mbili mbili.
 
yaaani kama zile wanazotumia vile vitofali vya udongo ni bure kabisa,nadhani pia ni mawazo mgando tu ya maengineer wake, ramani zipo nyingi sana lakn nashangaa


Sijalalamika nimeuliza na kushangaa mbona nyumba nyingi ziko ivo...au pengine ndio ID yao inayowatambulisha kwenye jamii wakiona nyumna kama izo wajue zimejengwa na wao
 
Low budget houses boss

Hivi umewahi kufatilia gharama za ujenzi wa hizo nyumba mpaka useme ni low budget houses? Au unasikia maneno na Mchechu tu?, tofali zuri na gumu zi sh 1500, wao wananunua tofali moja elfu nne mpaka tano,
 
Back
Top Bottom