Yaani Bei za Nyumba TZ zinazidi hadi USA beach Front house.Habari wakuu wa jukwaa,
Naomba msaada wenu. Ningependa kufahamu ni vigezo gani vinavyotumika kupanga bei ya nyumba hizi.
Je, bei huamuliwa kwa kuzingatia mambo kama eneo ilipo nyumba, ukubwa wa jengo, ubora wa ujenzi, huduma zilizopo, miundombinu, au kuna vigezo vingine muhimu vinavyotumika?
Nitaushukuru sana mchango wenu kwa yeyote mwenye uzoefu au taarifa juu ya hili.View attachment 3523988
Katika vitu ambavyo sipendi ni kuishi kwenye penthouse / appartments /condo /flat.Yaani nitoe milioni 112 kwenye makazi kama mabweni ya wanafunzi wakati nikienda hao kibaha napata kiwanja kikubwa MIta 100 Kwa 100 Kwa shilingi milioni20-30.ukiishi kwenye apartment ni matumizi mabaya pa pesa
1600sqm hapa lazima iwe pembeni kidogo ya mji au sio?Katika vitu ambavyo sipendi ni kuishi kwenye penthouse / appartments /condo /flat.
Napenda kuishi kwenye nyumba inayojitegemea peke yake yenye space kubwa atleast sqm 1600.
Tatizo uchafu sasa, ikitokea shida ya maji. Hapo ni mtafutano.. bora za masaki hukoKatika vitu ambavyo sipendi ni kuishi kwenye penthouse / appartments /condo /flat.
Napenda kuishi kwenye nyumba inayojitegemea peke yake yenye space kubwa atleast sqm 1600.
Alafu hiyo ni bei ya chumba kimoja. Wamechanganyikiwa hawa!Yaani nitoe milioni 112 kwenye makazi kama mabweni ya wanafunzi wakati nikienda hao kibaha napata kiwanja kikubwa MIta 100 Kwa 100 Kwa shilingi milioni20-30.ukiishi kwenye apartment ni matumizi mabaya pa pesa
Hizo si tshs mkuu? Unataka kusema hapo kuna bei kubwa kuliko garden with pool plu hot tub au cinamon quadraple? πYaani Bei za Nyumba TZ zinazidi hadi USA beach Front house.
Sqm 95 unauza kwa milioni 330?Hizo si tshs mkuu? Unataka kusema hapo kuna bei kubwa kuliko garden with pool plu hot tub au cinamon quadraple? π
Hapa tatizo si ukubwa wa eneo bali ni watu wa aina gani wanatakiwa waishi, kama mtu hana mkwanja mrefu asisumbuke kwenda Kijichi kwenye hizo nyumba, wacha tubanane hukuhuku kwa Mtogole.Sqm 95 unauza kwa milioni 330?
Labda VIBOPA wawanunulie michepuke ili wawe wanatumia kama GUEST.Hapa tatizo si ukubwa wa eneo bali ni watu wa aina gani wanatakiwa waishi, kama mtu hana mkwanja mrefu asisumbuke kwenda Kijichi kwenye hizo nyumba, wacha tubanane hukuhuku kwa Mtogole.