miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Hata mimi nilitaka kushangaa mkuu_labda kama anamaanisha US dollar...mbona hata arusha mby misiba ni bei kama hizo.
Tumsamehe kumbe ni yule aliyetumwa huko SA ndo kaReport hivyo.
Hata mimi nilitaka kushangaa mkuu_labda kama anamaanisha US dollar...mbona hata arusha mby misiba ni bei kama hizo.
hujanielewa.,‎؛nime mquote Milad Ayo kwenye amplifire mzee,si mimi,what is 4mil?,ni pesa ndogo sana man iyo,mi mwenyewe ni fan wake mkubwa sana na nina uchungu.,