Nguzo za CHADEMA Arusha .........

Nguzo za CHADEMA Arusha .........

Hakika! 2015 CHADEMA USHINDI LAZIMA!!!!

Hata kwa Madiba N. Mandela ilikuwa hivihivi, so never give up Watanzania!!! Mbele kwa mbele.
 
CCM wanashindwa kujifunza kwa wenzao Makaburu wa Africa kusini.

Makaburu walikuwa zaidi ya CCM lakini mwisho wa siku Mandela akawa Rais wa Afrika Kusini.

CCM ni wepesi sana, makamanda wavumilie mateso ya muda.
 
Back
Top Bottom