Nguzo moja ya umeme ni Tsh. 200,000/=

Nguzo moja ya umeme ni Tsh. 200,000/=

Nguzo inanunuliwa na mteja ndo utaratibu labda nguzo za transfoma tu
 
Kwenye mtaa wangu ninaoishi hatuma umeme toka kuumbwa Kwa Dunia . tumejaribu kufuatilia toka mwaka Jana mpaka Leo hakuna hata dalili
Ila kuna mdau ametudokezea ili tuletewe umeme sharti tujikusanye wakazi wote wa huu mtaa tuchange kila mtu sh 200000 Kwa ajili ya nguzo
Bado kuvutiwa umeme kuingia ndani

Swali
Langu je ni halali kuuziwa nguzo sh 200000?
Au Mimi niendelee kutumia soral
Au tanesco wanatuibia ?
Naomba kuwakilisha kwenu mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
 
Hii ni serikali ya awamu ya tano. wape mzee upate umeme. mimi nimeambiwa milioni moja (1,000,000/=). nguzo 2 na wameomba rushwa ya sh 250,000/= waniletee haraka
Kama bado hujatoa usijaribu unapigwa hapo,
Tatizo la watanzania sijuh nini mnachoogopa kwenda kwenye ofisi husika na kupata majibu sahihi!
 
Kama bado hujatoa usijaribu unapigwa hapo,
Tatizo la watanzania sijuh nini mnachoogopa kwenda kwenye ofisi husika na kupata majibu sahihi!
Ebwana mbona mimi hayo maneno ya nguzo laki mbili nimegewa ofisini kwao wenyewe?
Naomba njia ambayo itaniepusha na hiki kitu...
 
kununua nguzo sio sahihi... maana mali na vifaa nje ya mita ya mteja vipo chini ya umiliki wa tansco.... sasa kwa nini mteja anunue nguzo alafu zimilikiwe na tanesco...

huu ni ukiritimba ht ikiwa ni kuchangia gharama za kuunganisha umeme sio kwa namna hiyo...
 
Unajua nyie watu wengine mnakera sana kwenye comment zenu umeambiawa Tanesco nguzo ananunua mteja hili swala linakera sana.kwann msituwekee nguzo bure kwani tatizo nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm Kuna Nyumba hapa mwanza tanesco wameleta nguzo Na kuisimika then hawaleti umemee tangu Mwezi WA sita Jamaniiiii nimechok Na sababu Etiiiii Hakuna Nyaya tangu June inakera Na gharama zote za kufunga umemee wamelipwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mtaa wangu ninaoishi hatuma umeme toka kuumbwa Kwa Dunia . tumejaribu kufuatilia toka mwaka Jana mpaka Leo hakuna hata dalili
Ila kuna mdau ametudokezea ili tuletewe umeme sharti tujikusanye wakazi wote wa huu mtaa tuchange kila mtu sh 200000 Kwa ajili ya nguzo
Bado kuvutiwa umeme kuingia ndani

Swali
Langu je ni halali kuuziwa nguzo sh 200000?
Au Mimi niendelee kutumia soral
Au tanesco wanatuibia ?
Naomba kuwakilisha kwenu mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwaka 2010 kwangu nililipia milioni moja na Nusu kwajili ya nguzo hadi kuunganishwa;,,, pia mwaka 2014 somewhere nililipia laki 5 ya nguzo,,, we iyo laki mbili mkuu mbona ndogo kabisa,, lipa mkuu,,,
 
laki mbili unalalamika
kusema nguzo laki mbili ni halali kabisa sababu hakuna bajeti ya kununua nguzo kwa ajili ya eneo lenu
 
jamani tusipotoshane garama za kuingiza umeme ni shilingi laki 1 na 80elfu hivi kama nguzo itakuwa karibu yako yani ndani ya mita 30 kutoka kwako ila kama zitaitajika nguzo za ziada itakuhitaji kilipia laki 2 Kwa kila nguzo moja pamoja na na nyaya zake. nenda ofisi yoyote ya tanesco iliyoko karibu yako utalewa maelezo. tena ofisi nyingine maelezo hayo wamebandika kabisa.
 
laki mbili unalalamika
kusema nguzo laki mbili ni halali kabisa sababu hakuna bajeti ya kununua nguzo kwa ajili ya eneo lenu

kwahiyo tanesco kitengo cha kusambaza umeme wanafanya na biashara ya mita za luku, nyaya na nguzo !?

nauliza tu...
 
kwahiyo tanesco kitengo cha kusambaza umeme wanafanya na biashara ya mita za luku, nyaya na nguzo !?

nauliza tu...
mita utalipia,nyaya utalipia,nguzo utalipia
lakini vyote vitaendelea kuwa mali ya tanesco tanzania
 
Mkome kukimbilia viwanja vya mbali na mji kisa unafuu. By the way laki mbili itakuwa ni subsidised price. Bei ya chini kabisa ya nguzo yenye urefu wa mita tisa ni kama 270,000.
 
Back
Top Bottom