Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 427
- 574
Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha.
Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na furaha ndio mafanikio.
Mafanikio yapo katika angle tano muhimu ambazo ukielewa utakuwa na mafanikio ya kifedha tu bali maisha yenye amani, upendo, utajiri, utosherezi ambayo yatakupa furaha.
1.spirtual(kiroho)
Unapofanikiwa kiroho au kumuweka Mungu kwenye kila hatua ya maisha yako unayapa maana maisha yako na kufanya maisha yako yapete kufanikiwa kifedha, mahusiano yako kuwa bora, kuwa na amani, upendo , hivi ni vitu Mungu pekee anatoa , ukishakuwa kiroho upo vizuri maisha yanakuwa bora, yasiyoyumbwishwa kipindi cha changamoto.
2.mentality(akili)
Watu wengi wanawekeza nguvu zao kutafuta pesa lakini wanasahau kuwekeza katika maarifa, unapowekeza kwenye maarifa ya Mungu, mahusiano, jamii , teknolojia unajijenga kuwa mtu mwenye hekima na uongozi, mtu aliyejijenga vizuri kiakili anajenga maisha bora sio kwake tu bali kwa vizazi vyake pia.
3.emotional(hisia)
Watu wengi wamefanikiwa kifedha lakini kihisia unakuta awapo vizuri, wengine wanashindwa kufanikiwa sababu awapo vizuri kihisia, lazima uwe na uwezo wa ku control hisia zako mfano ulevi, ugomvi, ngono n.k ukishindwa ku control hisia zako utakuwa huna nidhamu ya pesa, watu, mali mwisho wa siku tegemea kuanguka au kutofanikiwa kama bado unajitafuta na kufanya maamuzi wa hisia na sio akili.
4.health(afya)
unapopambana na maisha lazima ujijenge pia kiafya angalia vitu unavyoviweka kwenye mwili wako ngono, ulevi, ugomvi , vyakula ni muhimu kutambua afya bora ni mafanikio jenga tabia bora ili ujenge afya bora, tenga muda wa kufanya mazoezi hii inaboresha akili na afya.
5.financial(fedha)
Unapopambana kutafuta fedha ni muhimu kuwa na mentality au akili ya kutengeza utajiri wa vizazi(wealth generation) tengeneza system ambapo watoto wako wataendeleza ulipoishia hichi ni kitu inabidi Afrika tuanze kuishi na hichi kinakuja pale ambapo umejijenga kiakili, kiroho, kihisia hivyo ni rahisi kuwapatia watoto maarifa kutoka kwako hapa utafanikiwa na kuacha alama au legacy.
Note:Mafanikio bora sio yako pekee bali ni mafanikio yanayotoka kutoka generation moja kwenda nyengine na hii ni kanuni ya Mungu mfano alipo mpa daudi ufalme, vizazi vyote vya daudi vilipata nafasi ya kurithi ufalme.