Nguvu za asilini na nguvu za akili

Nguvu za asilini na nguvu za akili

Hiyo hali ilikuwa ikinitesa sana ... baada ya kujua namna ya kuikataa hainitesi tena. Ikikutokea tulia sehemu ulipo; ondoa mawazo hasi, anza kuwaza mema tu ... utashangaa inavyotoweka
Asante, naomba mfano wa mawazo mema ni kama yapi ili nijue na niweze kutumia mbinu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante, naomba mfano wa mawazo mema ni kama yapi ili nijue na niweze kutumia mbinu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida wasiwasi wako unakupelekea kwenye kukutana na tukio baya, mf. kufiwa, kupata ajali, kukumbana na maudhi nk; usiwaze hayo!

Wazia kukutana na jambo la kukufurahisha mf. kupata deal la kuingiza fedha, kukutana na watu uwapendao; kupata suluhisho la changamoto zinazokukabili n.k.
 
Write your reply...jinsi ya kutumia nguvu ya asili, au jinsi ya kuniunganisha na hio nguvu.
 
Back
Top Bottom