Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
ISO M.CodD Sometimes i do think that it just comes out as a trait to some people, sidhani kama we uko hovyo hovyo kwa sababu tu eti ni programmerKama u-smart wako unakuingizia pesa sawa...kama ni prerequisite ya kazi yako mfano lawyers sawa. Otherwise, I wouldnt, and as a programmer I dont give that a priority.
Mmmh!!!!! bila shaka wewe bado mvulana, usiogope wacha tu wakwite wapendavyo, umri unaruhusu.
Ni mtu avaae mavazi na kuacha sehemu ya makalio yake nje.
Jina tu linaonyesha wewe ndo wale wa miondoko ya kudunda dunda
Kwa kuongezea pia sharobaro ni yule anayeshinda kwenye kioo muda mrefu kuliko dada ake halafu bado anakula kwao kwa huruma ya salama..Kama u-smart wako unakuingizia pesa sawa...kama ni prerequisite ya kazi yako mfano lawyers sawa. Otherwise, I wouldnt, and as a programmer I dont give that a priority.
ISO M.CodD Sometimes i do think that it just comes out as a trait to some people, sidhani kama we uko hovyo hovyo kwa sababu tu eti ni programmer
SHOOyaKIBABE sure si kila mtu anapata nafasi ya kuishi vile atakavyo at some point in life unaweza ukajikuta umekuwa mgumu sio kwa kupenda ila game inakuwa tight mno!Deeboyfrexh, vipi kuhusu kijana ambaye kipato chake (kama ana kazi) au hali ya uchumi ya nyumbani haimruhusu kujiweka vizuri kimavazi ingawa angependa kulifanya hilo, tunamweka kundi gani?
mara nyingi huitwa WAGUMU au NGUMU NYEUSI kumbe msela kakosa tu mshiko
U-nadhifu unaanzia kichwani, unakuja kwenye tabia, halafu ndio mavazi. Lazima viende pamoja hivyo vigezo.
Kama wanakuita sharobaro, then huo sio u-nadhifu my brother.
Sharobaro ni kijana anayevaa au kupendeza kwa hisani wakati mfukoni hana kitu.
Habari wana Jukwaa,
Siku zote huwa naamini kujipenda kwanza ndio hasa kunakopelekea mtu kujiamini na hata pia watu wengine watakuheshimu na kukupenda baada ya kugundua unajijali.
Sio siri swala la unadhifu hasa wa mwili na mavazi ni vitu ambavyo mimi kama moja ya vijana wengi wa ki leo ni moja ya vitu ambavyo nimevipa umuhimu.
Hili liko hivo hata kwa marafiki zangu wa karibu na nadhani ni kwa vile hata wao wana attributes kama zangu.Imepelekea watu wengi kunikubali nimepata marafiki wengi wapya na hata pia kuna baadhi ya wasichana wamekuwa wakinisifia kwamba niko very smart.
Kuna dhana ambayo imejengeka siku hizi kwa baadhi ya watu juu ya vijana wenye kupenda kuwa smart,yani utakuta mtu anaanza kukuita mijina ya ajabu kama "SHAROBARO".Binafsi nachukizwa sana na hilo jina because i know i'm a very authentic kind of person to be called such a stupid nickname.
Wana jamii naombeni mnieleze huyu "SHAROBARO" ni mtu wa namna gani?
Asante mkuu Smart911, At least your comment is making some damn sense...But mbona wapo wale ambao wanapendeza kwa kutumia jasho lao na bado wanakuja kuhusishwa na kundi hili hili la Masharobaro?
Kuna watu wa aina mbili kijana..kuna wanaofanya vitu kwa kuwa ndivyo vinavyotakiwa kufanyika..kuna wanaovifanya ili waonekana wamevifanya (kutafuta sifa)...huyu wa pili ndo sharobaro
Au ngoja nikupe illustration:
Mtu anayejali na kujua umuhimu wa usafi atakuwa msafi 100% kuanzia underwear/boxer, singlet, sox, viatu, suruali/pensi na shat/t-shirt
Sharobaro ni rahisi kukuta shirt inang'aa kwa usafi, suruali very clean..laikini ukiioona boxer au chupi na singlet unaweza ukatapika..anajua haionekani mbele za watu na kwa kuwa ye ni sifa aitwe msafi bac hataijali
Ni kawaida kwa binadamu kuongea. Hujawahi ona mtu anakuomba lifti, unamueleza ukweli huelekei huko, utasikia unaambiwa siku hizi unaringa sana.
SHOOyaKIBABE sure si kila mtu anapata nafasi ya kuishi vile atakavyo at some point in life unaweza ukajikuta umekuwa mgumu sio kwa kupenda ila game inakuwa tight mno!