ntemi masali
Senior Member
- May 20, 2013
- 136
- 26
Tunapozungumzia "nguvu ya umma" tunamaanisha watu wanapoikosa haki yao kutoka kwa watawala na kuamua kujikusanya pamoja na kuidai haki hiyo kwa nguvu wakiwa wamoja .Watanzania sasa wameshaamua kudai haki zao kwa kutumia umoja wao yaani NGUVU YA UMMA kama wanavyoonekana hapa. kuna tetesi kuwa CCM nao wanatamani kupata watu wengi kama hawa kwenye mikutano yao bila kuwasomba kwa maloli na kuwapa chakula na soda mkutanoni eti wanauliza wafanyaje ?? wana janvi wapeni ushauri.
View attachment 109048
View attachment 109048