Nguvu ya umma

Nguvu ya umma

Ama kweli!wapi hapo sasa mkuu?Je, bado ni tetesi mpaka sasa...?
 
Fuel-Logo.jpg

Leo kijitonyama wamelipua tena na bomu.... ofisi nzima ya kanda kipolice dar wakaamia pale, sasa wanajianda kuweka Tume kuchunguza chanzo isiyoleta majibu na jipya lolote ila pesa zetu zimeliwa basi. kuzuia mambo haya yasitoke kinga hakuna wako bize na chadema tuuuuu

NA WEEE NGOJA TU....
 
Back
Top Bottom