Nguvu ya Umma yamtisha Wassira; akana kutaka kufuta CHADEMA!

Kumshauri Rais ni nafasi kubwa...kinatumika kigezo gani kupata watu wa aina hiyo
 
ukizeeka pengi unawaza kaburi sana ina maana wassira wakati anatamka alitegemea hatuna akili ya kujua alikuwa na maana gani. ajifie tu hana jipya
 
Siku ikifutwa CDM - Chama cha mabwepande kitakuwa kikibeba virago baada ya kukataliwa na wananchi.
 
Anazeeka vibaya huyu mzee wetu jamani, na hii M4C inavyozidi kushika kasi ndio jinsi mashavu yanavyozidi kumshuka......... Shame on him!
 
Hivi akinyamaza kuna tatizo gani ama ndo ataonekana na mkubwa hafanyi kazi? Kwa nini wasijikite kwenye shughuli za maendeleo badala ya kukaa kuwafuatilia CDM? Waache CDM nao wajaribu bahati yao maana hii nchi si ya watu fulani pekee ndo wenye haki. Kama wewe ulitumia barabara hiyo kufika ulipotarajia kwa nini uzibe njia? waache nao wapite ili baadaye hata ukiwashinda ujue umewashinda kwa haki na kwa ukweli. Ni sawa mnasoma halafu wewe unaficha materials na vitabu na mtihani ukifaulu peke yako unajisifu eti unaakili! weka vitabu mezani msome wote na kwa wote wasome ili ukifaulu ujue kweli una akili.
 
Utakuta hata ahadi walizotoa baadae wanazikana na kusema tuliwanukuu vibaya.

Wassira anatakiwa kukamatwa kwa kuhujumu uchumi wa watu wa kanda ya ziwa hasa wakulima wa pamba kupitia makampuni yake ambayo siku zote yamekuwa yakiwakandamiza wakulima kwa kutoa bei ndogo na Wassira akitumia mwanya wa kuwa Waziri wa Kilimo akutumia ule mtindo wa turufu (Kwa wale wachezaji wa karata wataelewa). Kwa ujumla si msafi kabisa ni fisadi aliyetumia madaraka yake vibaya akiwa wizara ya kilimo!!!!!!
 
CCM na Polisi wake wao ndiyo wauaji wakubwa, hakyamungu CCM ikiondolewa madarakani lazima JK tumkamate tumyonge hadharani kama Samwel Doe, haiwezekani mauaji ya kutisha yafanyike tunyamaze,na yeye anashangilia Ikulu wanadhani watatawala milele hawa,History will tell. Wanadhani wakifanya mauaji watanganyika watanyamaza,damu ikishamwagika sawa na wala nyama za binadamu hawaachi,hii ni laana kwa CCM na serikali ya JK.Hata wakienda Butiama kutambika ili kunusuru haya hata Nyerere hatawasikiliza.Kilichobaki ni mbele kwa mbele.
 
Bila kumkwaza mtu yoyote ningeshauri wana-JF tujikite kwenye hoja badala ya kujadili physical appearance ya mtu. Hata kama hukubaliani na Wassira sidhani kama ni vema kujadili sura/umbo lake. Hakuna mtu miongoni mwetu aliyemwambia Mungu amuumbe alivyo, na leo hii unaweza kupata ajali na sura/umbo lako likabadilika kabisa.

Ni vema tukajenga ustaarab wa kuhemu wengine regardless ya maumbo yao.

Ninakubaliana na wewe kwa sababu tusipokuwa waangalifu tukaacha kujikita katika hoja tutashindwa kujadili na kupata majibu yatakayosaidia ujenzi wa taifa. Cha msingi ni hoja na si sura wala maumbile. Don't judge a book by its colour
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Bila kumkwaza mtu yoyote ningeshauri wana-JF tujikite kwenye hoja badala ya kujadili physical appearance ya mtu. Hata kama hukubaliani na Wassira sidhani kama ni vema kujadili sura/umbo lake. Hakuna mtu miongoni mwetu aliyemwambia Mungu amuumbe alivyo, na leo hii unaweza kupata ajali na sura/umbo lako likabadilika kabisa.

Ni vema tukajenga ustaarab wa kuhemu wengine regardless ya maumbo yao.

Very true
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wassira anatakiwa asome hotuba ya Mubarak aliyoitoa mara tuu pale nguvu ya umma ilipoanza kushika kasi kwenye mitaa ya cairo. Alisema atawakamata wote wanaoandamana na kuwashikisha adabu na aliamuru jeshi lizime maandamano hayo mara moja.
Leo hii mubarak yuko wapi?
Kamwe usidharau nguvu ya umma, binadamu akichoka hata umtishe vipi utaondoka tu.

human evolution ni mchakato. haijakoma.

baada ya kutoka kuwa nyani na kuwa kama watu, sasa tunatoka tena kuwa mazuzu kuwa waelewa.

ccm lazima wakubali tu.
 
Katika kile kinachoonekana kutuliza wananchi na upepo mbaya nchini kutokana na kauli yake ya kutishia kufuta CDM, jana waziri wa nchi ofisi ya Rais Stephen Wassira amekana kauli yake na kusema hana nia wala mpango wa kufuta CDM.

Amesema kauli yake aliyotoa alinukuliwa vibaya kwani ililenga vyama vyote na sio CDM pekee. Wassira amesema alichokuwa analenga ni umuhimu wa vyama vyote kufuata sheria lakini ameshtushwa na jinsi alivyoshambuliwa nchi nzima kwa kuhusisha matamshi yake na hujuma dhidi ya CDM.

Source: Mtanzania Jumapili
Sheria ipi anayoizungumzia huyu? Ya kuzuia mambo yenye tija kuwekwa hadharani bungeni, just because its from M4C MPs? Asamehewe bure
 
Gombe Game RESERVE ndio HOME, mjini unafanya nini? TAZAN hayupo huku, mngoje HUO HUKO ....
 
Tafadhalini, hapa ni mahali pa vichwa vilivyosheheni mawazo ya kina, si vema kuacha hoja na kuaza kukashfu sura ya mtu. Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, hata naye ana sehemu katika uumbaji Mungu alioufanya. Ila hoja yake aliyoitoa ni dalili ya watu kutofikiri kwa kina kinachokaribia kutokea Tanzania. Haijalishi ukubwa wa jeshi na wingi wa mauaji, kwa jinsi mtavyoua zaidi ndivyo mnavyoamsha uchungu na hasira ya kudai haki na madaraka yenye kujali Utu...
 
Back
Top Bottom