- Thread starter
- #21
Sasa nitoe mfano halisi. Marekani kuna kitu kinaitwa kufaili tax mwanzoni mwa mwaka. Hapo kama mwaka uliopita ulilipa tax kubwa kuliko ulivyotakiwa kulipa unarudishiwa pesa. Kama umelipa ndogo unalipa wewe.
Sasa nimefaili Tax ikawa state(jimbo) linirudishie 5000. Nilipoweka county ninayoishi 5000 ikayeyuka ikabaki 3400. Ina maana hapo county wamechukua 1600 kimwamba mwamba tu bila hata ya mashauri. Na hiyo ni nje ya kodi ya nyumba na kodi ununuzi wa vitu ukienda dukani.
Sasa wabongo hata 100 kodi ya tarafa hawalipi.