Kwenye indirect tax hawachukui zaidi hiyo ya hiyo mia unayoizungumzia wewe!?!?Milioni tano ukiongeza sifuri ni milioni 50.
Watu milioni tano wakilipa kodi ya mji sh 10 kwa mwezi ni milioni 50.
Je wakilipa mia kwa mwezi? Watafikisha milioni 500.
Milioni mia tano kwa mwezi walimu na manesi watakosa mishahara ya maana? Miji itaacha kusafishwa? Maji ni miradi mingine itasubiri misaada ya nje?
Hivi ndio vitu vya kufikiriwa na wabunge. Lakini wengi wao wamesahau wajibu wao wamejikita kwenye kugombea urais.
![]()
Mpaka rambirambi yanakula Mkuu sembuse kodi!!Sasa nitoe mfano halisi. Marekani kuna kitu kinaitwa kufaili tax mwanzoni mwa mwaka. Hapo kama mwaka uliopita ulilipa tax kubwa kuliko ulivyotakiwa kulipa unarudishiwa pesa. Kama umelipa ndogo unalipa wewe.
Sasa nimefaili Tax ikawa state(jimbo) linirudishie 5000. Nilipoweka county ninayoishi 5000 ikayeyuka ikabaki 3400. Ina maana hapo county wamechukua 1600 kimwamba mwamba tu bila hata ya mashauri. Na hiyo ni nje ya kodi ya nyumba na kodi ununuzi wa vitu ukienda dukani.
Sasa wabongo hata 100 kodi ya tarafa hawalipi.
Trump alijisifia kwa jimbo gani alilolitawala!?Milioni mia tano bila ya ushuru zinaweza kuingiza nchini vigari hamsini vya patrol za polisi.
Dar usiku ni kama Afghanistan. Hakuna taa za barabarani. Hakuna polisi mitaani. Njia za vichochoro. Watu magari wanapaki CCM kwa kuogopa wizi. Wengine wanayapaki nyumbani lakini wana kundi la wamasai wa kuyalinda. Ndio maana bei ya nyama imepanda wafugaji wamechukua kazi ya ulinzi bila ya malipo mijini.
Ukipata tatizo unaenda wewe polisi wakupe au wakuuzie RB.
Jichukulie wewe ni mkuu wa mkoa au mbunge umechangisha wananchi mia mia ukaleta magari hamsini ya polisi. Kwanini wasikupendekeze urais?
Wabunge wetu wanaona njia nzuri ya kujijenga kisiasa ni kugombana na raisi.
Raha kuangalia kampeni za urais Marekani. Kila mgombea anajisifia au anaadhiriwa kwa aliyoyafanya jimboni kwake.
Walimu kweli wanaendelea kusafiri bule huko dar es saalamActually no, ndie pekee anaejitahidi kuchachalika. Wengine wote wanakinga mikono mishahara iingie tu.
Kwenye indirect tax hawachukui zaidi hiyo ya hiyo mia unayoizungumzia wewe!?!?
Tanzania ni nani siku inaisha bila kutumia Bidhaa ya sokoni!?
Unameweza kupima gharama ya kuikusanya hiyo mia mia!?!?
Hauoni kama unaweza kutumia 500 moja kukusanya 100 moja??
Nguvu ya zero ipo ila sio kiivo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu gharama ya kukusanya pesa Simba na Yanga hazifi tokea 19 kweusi zinakusanyaje pesa?Sisi tunalipa direct taxes na bado tunalipa kodi za counties. Na kuna kuna ada za kuishi mitaani pia. Wazoa snow na wakata majani hulipwa.
Unajua kwann watu wanaichangia hiyo kodi bila wasiwasi!?Sisi tunalipa direct taxes na bado tunalipa kodi za counties. Na kuna kuna ada za kuishi mitaani pia. Wazoa snow na wakata majani hulipwa.
Sasa kwann isiwe Tanzania!?Usipolipa hukai mtaani. Mji utakushinda. Mabalozi wa nyumba kumi wanaweza kukusanya hizi pesa.
Wakulaumiwa mpinzani au chama kilichoshika hatamu kwa miaka zaidi ya 50!?Apo chacha. Mfumo mbovu.
Wakulaumiwa mpinzani au chama kilichoshika hatamu kwa miaka zaidi ya 50!?
Mpaka leo kinalia lia tu na ACCACCIA!?!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wakulaumiwa n nani kati ya alishika Dora akashindwa kufanya na ambaye hajashika Dora kabsa!!??Kwani wapinzani wakishika watabadilisha nini?
Hukuona Lissu akimlaani Magufuli hakununua chakula nchi ina njaa. Nilifikiri angehimiza watu walime shamba la mahindi kuanzia Ruvu mpaka Mikese Morogoro.
Sasa wakulaumiwa n nani kati ya alishika Dora akashindwa kufanya na ambaye hajashika Dora kabsa!!??
Kulikuwa tyr kuna janga la ukame na njaa inawapiga watu hiyo nguvu ya kulima ingetoka wapi!?
Miaka yote kilimo hakikuzingatiwa ,ndo unataka lisu akihamasishe tyr kwenye baa la njaa!?
Serikali inapoona haiwezi kuyafanya hayo kwann isiache ung'anganizi wa madaraka ikaachia watu wengine wakatawala kuliko kumsubilia mpinzani afanye wakati yenyewe ndo yenye hatamu!?!?
Sent using Jamii Forums mobile app
tarafa sio county.Nina mfano hai. Tarafa (county)ninayokaa tunalipia kodi za tarafa. Mambo shwari unaweza kusahau kufunga vioo vya gari wiki mbili bila ya gari lako kuguswa na kibaka yeyote.
Inasikitisha viongozi wetu wanachoiga kutoka Marekani ni kuzozana na raisi tu.
Kwa Marekani raisi anatukanwa kwa sababu watu hawamuhitaji wana serikali za mitaa zinamaliza shida zao zote.