Nguvu ya sifuri

Nguvu ya sifuri

tarafa sio county.
Wilaya ndio county

Sent using Jamii Forums mobile app

Close enough. Ila hawa jamaa hawana wilaya (district) au ndiyo hiyo hiyo.?Tusijekuishia kwenye trousers na pants. Wanazo districts katika mgawanyo wa wawakilishi wa bunge. Kwa mfano Maryland ina districts nane. 1,2,3,4.......
 
Suala la wizi wa mali za uma Marekani lipo. Ila wakikukamata huchomowi. Hawa wenye scandal za ufisadi ingekuwa Marekani wote wangekuwa jela. Tena wengine wanafungwa vibaya. Mtu na mkewe wote jela.

Hakuna cha kigogo wala mzizi. Gavana au meya kufungwa ni kitu cha kawaida. Kama yule gavana wa Virginia. Jamaa alikuwa top kwenye chama chake. Alikuwa na muelekeo wa kugombea urais. Kaishia Segerea hasikiki tena.
Hayo yote n katiba kaka.... Umesikia magu akizungumzia katiba hata kidogo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIPUNGUZA SIFURI MOJA KWENYE BEI YA BIDHAA UNAYOUZA, KWENYE RISITI, UNAKULA 90% YA FWEDHA YA TRA!
 
Hapo ni nguvu ya sifuri kivipi? hapo wamezidisha kwa kumi hizo figure, sio kuongeza sifuri, milioni tano ukiongeza sifuri ni milioni tano hiyohiyo,
na hilo cover uliloweka haliendani na topic yako
kuna tofauti ya mantiki kati ya kuongeza na kujumlisha. Fikirisha zaidi kimkitadha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifuri ina nguvu sana maana Bashite ndio inamuweka mjini
 
Back
Top Bottom