Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

hapo kwa mzee wa upako umetudanganya. alikuwa lutheran, source ni yeye mwenyewe akihojiwa na salama jabir kwenye kipindi cha mikasi EATV. kwa uongo huu inanipa waswas wa kuamini hao wengine uliosema
 
Kwanza sii kweli Jesuit ni shirika la kijasusi la Kanisa Katoliki!.
Pili sii kweli ukipingana na ukatoliki umepigana na Uhai wako!, wako Wakatoliki kibao walioasi na leo wanaendelea kuishi!.

  1. Padri Felician Mkwera ni Padri wa Katoliki, amepgana Ukatoliki, ameanzisha kundi la Wanamambi na anaendelea kuishi!.
  2. Askofu Kakobe alikuwa Mkatoliki, amepigana na Ukatoliki ameanzisha kanisa la FGBF na anendelea kuishi!.
  3. Mtume na Nabii, Josephat Mwingira alikuwa Mkatoliki, amepingana na Katoliki kaanzisha Ephata na yupo!.
  4. Mzee wa Upako, Anton Lusekelo alikuwa Mkatoliki, ameanzisha kanisa lake la Upako pale Ubungo na yupo!.
  5. Padri W.P Slaa, ni Padri wa Katoliki, kapingana na useja, akaacha Upadri, na leo ni mwanasiasa na yupo!.
  6. The list goes on....
Hivyo usilete uongo huu, ila pia niliwahi kuuliza humu, Kwanini, Rais wa Tanzania, akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?!. uzi ule ulifutwa fasta ila Julius alikuwa Mkatoliki, Benyamini naye alikuwa Mkatoliki, hivyo aliyepaswa kufuata mwaka huu, 2015 alikuwa ni awe Bernado, Petiro, au Yahane!, ila Eduarado amekubaliwa kwa sababu Regina ni Mkatoliki, ndio maana hamsikii juhudi zozote kutoka kwa Samwilu! au Federiko!.

Na kufuatia Ukatoliki huu, hata majina kama Januari, Anderea ni majina ya kikatoliki!.

Pasiko

Kula like ya kimtindo mkuu
 
Futa jina la mzee wa upako hajawaikua mkatoriki ni mluteri!!!
 
Unazungumzia Ulaya ipi?? na wazungu wa aina gani unaowazungumzia?? This is too general, Nani alikwambia huku kwetu kuna jazba!! There is no human civilization without Christianity

Human civilization wa kukuvalu ndoa za jinsia moja

Ustaarabu umeletwa na Mwaarabu

Wachamba kwa mabox utaawaonaa tuu
 
Kwanza sii kweli Jesuit ni shirika la kijasusi la Kanisa Katoliki!.
Pili sii kweli ukipingana na ukatoliki umepigana na Uhai wako!, wako Wakatoliki kibao walioasi na leo wanaendelea kuishi!.

  1. Padri Felician Mkwera ni Padri wa Katoliki, amepgana Ukatoliki, ameanzisha kundi la Wanamambi na anaendelea kuishi!.
  2. Askofu Kakobe alikuwa Mkatoliki, amepigana na Ukatoliki ameanzisha kanisa la FGBF na anendelea kuishi!.
  3. Mtume na Nabii, Josephat Mwingira alikuwa Mkatoliki, amepingana na Katoliki kaanzisha Ephata na yupo!.
  4. Mzee wa Upako, Anton Lusekelo alikuwa Mkatoliki, ameanzisha kanisa lake la Upako pale Ubungo na yupo!.
  5. Padri W.P Slaa, ni Padri wa Katoliki, kapingana na useja, akaacha Upadri, na leo ni mwanasiasa na yupo!.
  6. The list goes on....
Hivyo usilete uongo huu, ila pia niliwahi kuuliza humu, Kwanini, Rais wa Tanzania, akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?!. uzi ule ulifutwa fasta ila Julius alikuwa Mkatoliki, Benyamini naye alikuwa Mkatoliki, hivyo aliyepaswa kufuata mwaka huu, 2015 alikuwa ni awe Bernado, Petiro, au Yahane!, ila Eduarado amekubaliwa kwa sababu Regina ni Mkatoliki, ndio maana hamsikii juhudi zozote kutoka kwa Samwilu! au Federiko!.

Na kufuatia Ukatoliki huu, hata majina kama Januari, Anderea ni majina ya kikatoliki!.

Pasiko

Uhai wa kiroho sio uhai wa kimwili....
 
Kwa uelewa wangu Jesuit ni moja ya mashirika katika kanisa katoliki lenye jukumu la kulinda na kutetea ukatoliki duniani so it's purely an intelligence agency Kama ya nchi.ila jukumu la ulinzi na usalama ni la nchi husika.ndio maana makasisi waliopo Kwenye shirika hili huwa ni wasomi wa hali ya juu,ili kuweza kufoil any attempt ya kulivuruga kanisa katoliki.ila Papa yeye analindwa na special security detail recruited from the Swiss Army.well trained comandos, na Ndio Roma wameingia nao mikataba.

Nawasilisha
 
Uimara na uthabiti wa fikra za kibinadamu hupimwa kwa matokeo ya mapokeo ya watu katika mukdhada wa kifikra hizo,

Aghalabu dunia hutawaliwa na kuamuliwa na wenye akili nyingi, Lolote ulijualo katika fikra na mikingamo yako sivyo lililovyo,

Uafrika mbele ya mzungu ni ushenzi, na uzungu mbele ya muafrika ni utukufu.

Ninaamini Afrika haikukamilika uumbaji wake, pengine ni bara la giza, Uzungu ni nusu uungu, sikubaliani na ushenzi wa Mzungu.

Uafrika ni uungu halisi kwa mwafika, msipoteze utu wenu kwakuabudu umagharibi na ubeberu huku mkitukuza dini zilizoletwa kwa majahazi na kuacha UCHAWI ambao ndio dini za mababu zenu na ndio uafrika wenu.

Leo miaka milioni iliyopita, mzungu anawaabudisha nyinyi Waafrika kwa machapisho yake kuwa kuna Mungu wao na miungu yetu ni ushenzi? Miungu ya Afrika iliyotuletea mvua pasipo na mvua, Miungu ya Afrika iliyotushindia palipo na vita, Miungu ya Afrika iliyotupa uzima palipo na magonjwa, Miungu ya Afrika iliyotusimikia watawala palipo na hitaji hilo, Miungu ya Afrika iliyotusafirisha kwa sekunde tu hata tukitaka kwenda bara la Antaktiki.

Miungu ya Afrika yetu ni ushenzi na miungu ya mabeberu ni uungu mkuu? Leo tunauana kisa dini hizo za washenzi wa magharibi??

Aminini katika uafrika wenu, ustaarabu wa mwafirika wa kulogana na ulozi vidumishwe na kuboreshwa,
huo ndio ustaarabu mkuu na utukufu wa Mwafrika, Amueni sasa kutotawaliwa mtakuwa huru, Mzungu atawaiga nyinyi badala ya nyinyi kumuiga yeye

Ukipewa tuhuma za mauwaji ya albino zipokee tuu.
Huwa sikusomi some times my brother
Yericko Nyerere.!!?
 
Kwanza sii kweli Jesuit ni shirika la kijasusi la Kanisa Katoliki!.
Pili sii kweli ukipingana na ukatoliki umepigana na Uhai wako!, wako Wakatoliki kibao walioasi na leo wanaendelea kuishi!.

  1. Padri Felician Mkwera ni Padri wa Katoliki, amepgana Ukatoliki, ameanzisha kundi la Wanamambi na anaendelea kuishi!.
  2. Askofu Kakobe alikuwa Mkatoliki, amepigana na Ukatoliki ameanzisha kanisa la FGBF na anendelea kuishi!.
  3. Mtume na Nabii, Josephat Mwingira alikuwa Mkatoliki, amepingana na Katoliki kaanzisha Ephata na yupo!.
  4. Mzee wa Upako, Anton Lusekelo alikuwa Mkatoliki, ameanzisha kanisa lake la Upako pale Ubungo na yupo!.
  5. Padri W.P Slaa, ni Padri wa Katoliki, kapingana na useja, akaacha Upadri, na leo ni mwanasiasa na yupo!.
  6. The list goes on....
Hivyo usilete uongo huu, ila pia niliwahi kuuliza humu, Kwanini, Rais wa Tanzania, akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?!. uzi ule ulifutwa fasta ila Julius alikuwa Mkatoliki, Benyamini naye alikuwa Mkatoliki, hivyo aliyepaswa kufuata mwaka huu, 2015 alikuwa ni awe Bernado, Petiro, au Yahane!, ila Eduarado amekubaliwa kwa sababu Regina ni Mkatoliki, ndio maana hamsikii juhudi zozote kutoka kwa Samwilu! au Federiko!.

Na kufuatia Ukatoliki huu, hata majina kama Januari, Anderea ni majina ya kikatoliki!.

Pasiko

pasco, u missed a point bro..."uhai wa kiroho" uliozungumziwa ni wa kiimani na sio kama ulivyoelewa kwamba mtu atafariki, unaweza ukawa unaishi lakini roho yako isiwe hai(hapo ni kiimani zaidi maana ha2zungumzii mwili bali roho)
 
Uimara na uthabiti wa fikra za kibinadamu hupimwa kwa matokeo ya mapokeo ya watu katika mukdhada wa kifikra hizo,

Aghalabu dunia hutawaliwa na kuamuliwa na wenye akili nyingi, Lolote ulijualo katika fikra na mikingamo yako sivyo lililovyo,

Uafrika mbele ya mzungu ni ushenzi, na uzungu mbele ya muafrika ni utukufu.

Ninaamini Afrika haikukamilika uumbaji wake, pengine ni bara la giza, Uzungu ni nusu uungu, sikubaliani na ushenzi wa Mzungu.

Uafrika ni uungu halisi kwa mwafika, msipoteze utu wenu kwakuabudu umagharibi na ubeberu huku mkitukuza dini zilizoletwa kwa majahazi na kuacha UCHAWI ambao ndio dini za mababu zenu na ndio uafrika wenu.

Leo miaka milioni iliyopita, mzungu anawaabudisha nyinyi Waafrika kwa machapisho yake kuwa kuna Mungu wao na miungu yetu ni ushenzi? Miungu ya Afrika iliyotuletea mvua pasipo na mvua, Miungu ya Afrika iliyotushindia palipo na vita, Miungu ya Afrika iliyotupa uzima palipo na magonjwa, Miungu ya Afrika iliyotusimikia watawala palipo na hitaji hilo, Miungu ya Afrika iliyotusafirisha kwa sekunde tu hata tukitaka kwenda bara la Antaktiki.

Miungu ya Afrika yetu ni ushenzi na miungu ya mabeberu ni uungu mkuu? Leo tunauana kisa dini hizo za washenzi wa magharibi??

Aminini katika uafrika wenu, ustaarabu wa mwafirika wa kulogana na ulozi vidumishwe na kuboreshwa, huo ndio ustaarabu mkuu na utukufu wa Mwafrika, Amueni sasa kutotawaliwa mtakuwa huru, Mzungu atawaiga nyinyi badala ya nyinyi kumuiga yeye

saaaaaafi sana kamanda
 
pasco, u missed a point bro..."uhai wa kiroho" uliozungumziwa ni wa kiimani na sio kama ulivyoelewa kwamba mtu atafariki, unaweza ukawa unaishi lakini roho yako isiwe hai(hapo ni kiimani zaidi maana ha2zungumzii mwili bali roho)
Imani ipi inazungumziwa, kwa mujibu wa nani hii ndio imani na hii sio??!!
Uhai wa kiroho ni nini haswa na viashiria vyake kimwili ni vipi???!?
Aliyekufa kiroho anakuwaje huyu hebu fafanua mkuu
 
Kwa uelewa wangu Jesuit ni moja ya mashirika katika kanisa katoliki lenye jukumu la kulinda na kutetea ukatoliki duniani so it's purely an intelligence agency Kama ya nchi.ila jukumu la ulinzi na usalama ni la nchi husika.ndio maana makasisi waliopo Kwenye shirika hili huwa ni wasomi wa hali ya juu,ili kuweza kufoil any attempt ya kulivuruga kanisa katoliki.ila Papa yeye analindwa na special security detail recruited from the Swiss Army.well trained comandos, na Ndio Roma wameingia nao mikataba.

Nawasilisha

Mkuu wewe una akili nzuri, wengi hawajui hilo,
 
Back
Top Bottom