Nguvu ya pesa kwenye mahusiano

Nguvu ya pesa kwenye mahusiano

Diyamondi alivyojua siku moja atabwagwa kaamua kuimba ule wimbo wa je utanipenda? Subiri yule mnigeria anamunyemelea. Atarudi mbagala na soksi.

Nb. Zari kwa mond hakufata pesa wala mapenzi, alifata kuonekana kwenye tv na social networks everyday+ mikasa = celebrity.
 
money is love, love might be strong at the start and so for you to make it ever living you should have some muler, imagine how could you show your patner that your in love with no money, kwa kufanya nae sex every day au kicn?, dats damn wrong right, everything you touch kwa dhumuni la kushow love it needs some cash, and mind you guys there is no love now days ki2 cha msing me naona hapa bora kuoa kwa mkataba upate watt maisha yaendelee au sio love is weakness
 
kwani huyu iggy azalea ndiyo naani? ( in jotti's voice)
 
2. inanifanya nijiamini.
inanipa nusu ya furaha..sababu naenda napotaka,nakunywa na nakula navaa.
inanipa marafiki wengi..ingawa wanafki ndo wanakua wengi.
nikiwa na pesa na afya nakua "stress free".
inanifanya niaminike.
PESA NI TAMU SANA HASA KWA NCHI YENYE AMANI KAMA TZ

1.GOD is EVERYTHING than what we call Money
 
Back
Top Bottom