Nguvu ya mwanamke


The same. Jamaa analikuwa na mke wake wakipendana sana Uchumi wa mume ukayumba sana. Mke akamtuhumu kwamba ana nyumba ndogo na anasaidia upande kwa wazazi wake. Baada ya Ugomvi kuwa mkubwa na kuzalilishana. Mume akaamua kuweka suruhu (si unajua kukwepa aibu ya maugomvi na makelele) akaamua kila kipato kinachoingia nyumbani kitahifadhiwa na kitatumika kwa maamuzi ya pamoja(wana Nyumba na frem za maduka) pesa zikawa nyingi na kuaamua kwa pamoja kukarabati nyumba yao(ukarabati mkubwa kama shs mil.5) ili kukwepa lawama mume akawa mtendaji mke ni mtunza pesa (pesa zote walihifadhi nyumbani na walificha sehemu flani waliokubaliana) kazi ikaenda ikaenda wakati ikikaribia kuisha mume akiwa amewafanyisha kazi mafundi anaomba pesa kwa ajili ya vifaa na fundi mke akamwambia hakuna pesa imeisha alipo enda kucheki pale zinapokuwepo hakuna kitu na kwa hesabu zake balance ilikuwa kama mil. 2 na zaidi.

Ugomvi ukafumuka upya mpaka ngumi kabisa na kuumizana. Yule Mke akamwambia wazi pesa imeisha na hakuna fanya ufanyalo. Jamaa akawa mpole lakini akaazimia yeye mwenyewe yafuatayo

1. Pesa yote ya nyumba itagawanywa nusu kwa nusu na ikitokea kuna hitaji ya pesa huyu anatoa nusu na mke nusu.
2. Miradi yote mipya ya Mume ataijua yeye tu na kipato chake,Mke hakijui.
3. Mke akimwaga Mboga, Yeye atamwaga ugali.(katika pesa za familia)

Sasa hivi jamaa wanaishi vizuri bila shida yeyote raha mstarehe mke akijua Mume amenyooka/ameshika adabu (si unajua ndiyo malengo yao siku hizi kuzibiti mume) lakini nyuma ya pazia kuna mambo.

Wanawake siku hizi mna nini? Muda mwingi mnatumia kugombana na waume zenu, haya majamaa yana akili za ziada. tulieni nao.

Ukitaka kula pesa ya mume wako mtii tu, na Mume ukitaka mafanikio kwa mke wako mpende tu.

Kitu kikubwa sasa hivi Kila mwanamke anataka kuwa mjasiriamali.

Naomba niwe wazi kabisa Mimi ninachukia sana hizi SACCOS natamani na mimi malaika ashuke azifute zote, maana zinawasumbua wanawake, wanachanganyikwa akili, wanaibiwa, wanahangaika kwa kudanganywa na hizi saccos. Kuna mwalimu wangu wa uchumi aliniaambia nikiwafundisha mfumo wa Interest za Saccos hakuna mtu atakaye kwenda kukopa saccos akiwa anamaanisha ni wezi na vigumu sana mtu kutoka (wapo wanafanikiwa 10% kati ya 90% wao hangaika tu bila kufanikiwa).

Any way jamaa alikosea kujinyonga, Hawa watu ni kuishi nao kwa akili. Si unajua siku hizi kuna Dawati la jinsia, sijui haki ya mwanamke, haki sawa ya mtoto na mama nk. dawa tu ni Kuishi na Mke kwa AKILI.
 
Kumbe we mwanamke una akili ya kuwa "MKE" na mwenye hofu ya Mungu hivi?

Umeolewa?
 
Dah yaani siku nikiona mwanamke wangu kaandika haya maneno na akayaishi hakika nitaamini mimi ni Mwanaume niliyebarikiwa kuliko wanaume wote hapa duniani.

Duh kumbe wewe huwa unajitoaga tu ufahamu ila una akili, hekima na busara hivi.
Ndugu, maneno yake ya pesa humu ni kufurahisha ukumbi tu...

Kichwani zimemtulia huyu kiumbe.
 
Aiseee!!!
 
Da nimevutiwa na mtoa mada wewe ni mmoja kati ya wanawake wanaoelewa wajibu wao mungu akuzidishie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…