Nguvu ya mwanamke

Duh!mkuu mnafahamiana na huyu mleta post?
 
Katika tafiti zangu nyingie kwa wengi wao waliojinyonga walikuwa na maamuzi ya hasira na kujiukumu au kujikomoa inatokana na udhaifu na udhaifu WA maamuzi napia uwaga wanamrundikano wa mateso ya kutotendewa haki zake za kibinadamu na kutojiona thamani kwake na sio malengo yake aliotegemea. R. I. P sijui huko msibani ndugu wanamuangalia Vipi
 
Kisaikolojia mtu yoyote anaweza jiua inategemea na ukubwa wa tatizo na atavyo kuchukua na uwezo binafsi wa kulibeba.
 
Atoto umenifurahisha sana leo [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Story imeelemea ushahidi wa upande mmoja na huyu mwanamke anaonekana kama ''shetani''.Ni vizuri umetoa ''maangalizo'' kadhaa kuonesha maoni uliyotoa si conclusively...Matukio kama haya huwa na ''hearsay'' za kutosha kiasi cha kushindwa kutoa hukumu sahihi.....
 
Kwanza kabisa,na hawa wanaume wajifunze kuishi na wanawake,hakuna wa kumlaumu kwa shida zako binafsi,anajiua huyu nimdhaifu sana
 
Labda kuwasaidia wanaume mmeumbwa na silaha moja ya uwezo wa kudharau mambo ukijifanya kusikiliza kila kitu lazima ufe,kamuulize baba au babu yako
 

Wanawake ni janga

Najuta hata kwanini niliamua kuoa mapema
 
Huyo mwanamke anawakilisha wanawake kama atoto miss chagga ambao wanaweza kukutoa roho kwa pesa! Ukitaks kujua makucha yao ufilisike.
 
Muko wanawake wachache sana wenye maono kama yako naamini ujumbe umeafikia wahusika ahsante sana
 
ubarikiwe ATOTO..........ujumbe wako wa leo hata malaika wametabasamu, kwa utawajenga wengi....Amen.
 
R. I. P
rest in power..


Ni Mara mia angemuua mkewe kwa kumtilia Sumu akafa,
Kuliko kujiua yeye mwenyewe kwa kunywa sumu ameonesha udhaifu sana na kutudhalilisha wanaume.

Mwanaume ndio kichwa cha familia, mwanaume hupaswa kuonesha msimamo wake,
Mwanaume hutakiwa kupambana na changamoto ya aina yeyote atakayo kutana nayo maishani mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…