Nguvu ya mwanamke

Marehemu kichwa cha juu kilikua kibovu

Alale pema. Inaelekea jamaa alikuwa mdhaifu sana, hata aina ya kifo alichochagua (kunywa sumu) inaonyesha hivyo.

hey paul
mtu unakunywaje sumu kwa mambo madogo hivo eti?
Mnaweza mkawa mko sahihi ila biadamu wanatofautiana sana namna wanavyoyachukulia mambo, hili tukio limenifanya nikumbuke thread moja iliwekwa humu kuhusu mwanamke alomtukana mumewe mwisho akaenda kujiua.

Kuna series za matukio hadi hilo linatokea, romous has it that mwanamke kamchezea, ila likishatokea la kutokea kila mtu anaongea lake.
Ukweli anao marehemu.

Maybe alifikia a point of no return, ila solution yake ndio imekuwa ya ajabu.
 
kuna watu wana roho za paka hivi wanawake tuko VIP? hiyo yote kisa mwanaume kataka pesa kwenda kwao??

wanawake Tuwapende wazazi upande Wa Pili ndo wanatuletea duniani wanaume. .wenye vitabia hivi acheni roho mbaya
Ni mengi yanaelezwa maana halikuwa hilo tu, kuna matukio mengi mno ambayo mume aliyavumilia, mwisho inaonekana akachoka.
 
jamaa kama hakuwa boya basi mwanamke alimchezea akiri, yaan kajiua harafu kamwacha mal.aya wake anakula maisha na njemba zingine!
Kila binadamu ana uboya wake mahali fulani, jamaa maybe hapo ndipo palikuwa na udhaifu wake, na hilo la kuchezewa linasemwa japo haliwezi kuthibitishwa.
 

Mapungufu hata ya mfukoni na kwenye waleti yavumiliwe pia.
 
R.I.P marehemu, baada ya mazishi huyo mama aombe ampate mume atakae kuwa anamuuliza maswali ya maana na si ya kiuuzi.
 
Wewe Atoto toka lini ukawa na ushauri mwema kwa jamii?,wewe ni muharibifu na tena mgonga nyoka mzuri sana weye au unakataa?,na ukibisha mimi nitatoa ushahidi wa yote uliotendea wanaume plus picha kama ushahidi au unabisha?,acha zako bhana,wewe ni miongoni mwa wachuna ngozi na wanyonya damu bila huruma weye au unabisha?,usiache nikakuanika jukwaani na kufanya ukonde bureee,please kaa kimya kabisa,usinikumbushe machungu ulonifanyia weye ajuza,.,.,..,.nitaendelea wanajamii wakinitaka kufanya hivyo,na tena nitatoa ile siri siku ile liliposanuka na bwana wako mpaka ukachezea makofi kefule weye,au unabisha nitoe au nisitoe? eti Atoto kumbe jina lake ni kama jinamizi eboo?
 
Nyie sio wa kufanyiwa kila kitu! Sio wanaume wote wanaweza kuvumila mambo yenu....
 
Inaonekana Dada ww ni mke mwema kabisa, wanawake wote wangekuwa kama ww maisha yangekuwa mwororo sana aisee
 
Huyo mume kwa maneno alikuwa kishazowea, lakini hio account ya bank kutoka 6 million mpaka laki, halafu unauliza hela ipo wapi unajibiwa kijinga.[emoji15] Kama mimi ningempa yeye wife sumu nikamuuwa kama panya.[emoji34] [emoji35]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mleta uzi kwa kweli nimekupenda kwa ujumbe wako mzito na mzuri kwa jinsia zote mbili!
 
Marehemu kichwa cha juu kilikua kibovu

Hata cha chin sidhani kama kilikua kina function vizuri ndio maana alikua hasikilizwi, haiwezekan mwanaume timamu kjiua tena kwa sumu wat a weak man
 
hey paul
mtu unakunywaje sumu kwa mambo madogo hivo eti?
Unaweza ona ni madogo. Lakini huwezi jua alijinyima kiasi gani. Pengine aliweka mpaka pembeni wazazi wake. Imagine wazazi wake walikuwa wagonjwa na wanahitaji msaada na pengine kawambia anawatumia pesa afu mwisho wa siku unaambulia laki moja. Kujinyonga amekose ila angeamua kumwacha tu huyo mwanamke na kutafuta wa size yake basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…