Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,207
- 829,193
me too siku mbili hizi sijakuona
Mambo ya shekeli mpwa mpaka jukwaa linakuwa kama kituo cha kova
me too siku mbili hizi sijakuona
Hivi kwanini Wanawake wanaogopa sana Mende?
Kwa sababu wana MENDEA...........
Mie naogopa panya jamani pamoja na chura yaani siwezi kukaa au kulala nikijua wapo eneo nilipo utanikuta juu ya stuli au kigoda au kochi huku natafuta jinsi ya kumuua au kuomba msaada.
Kwa sababu wana MENDEA...........
Hivi kwanini Wanawake wanaogopa sana Mende?
Siku nikikuletea zawadi nitakuletea zawadi ya mjusi
Vitu vingine hawaogopi wanaogopa mende