Nguvu ya mende

Nguvu ya mende

Waapii hamna yaani labda nisijue ila nikijua yupo sikai hapo natafuta mlango wa kutokea. Kunasiku nilikuwa natembea tukielekea makaburini kuzika kulikuwa na manyunyu na ilikuwa kijijini nusura nivue nguo baada ya chura wa kijani kunirukia vile vidogodogo weeh acha kabisa nilirudia njia ingine.

Mbona hujaogopa?

chura.JPG
 
Kazi ya chachandu ni kurejesha appetite iliyopotea, na sie wanyamwezi karanga pia huongeza ladha na hamu ya chakula hapo mwendo mdundoo

Wanasema ukila chakula bila kubadilisha unapoteza appetite sasa wewe inakuaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom