kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,625
- 12,169
Jina la aliyekuwa raisi wa DRC, Mobutu Seseko halikuwa na harufu ya kizungu. Alipenda sana jadi ya Kiafrika.
😀😀hicho ndo kibantu halisiNipo hapa Dada "Tuntufye Mwafilombe" 😀
😀 jina refu kama mzizi aisee wabantu sisi ni noma😀😀😀hicho ndo kibantu halisi