Nguvu ya Kafara

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa (kafara) mwanae wa pekee ili kila mtu amwaminie asipotee Bali awe na uzima wa milele. Amwaminiye yeye hahukumiwi, asiyemwamini amekwisha kuhukumiwa.... Maana hakuliamini jina la mwana pekee wa Mungu...
 
Mungu wetu ni Mungu wa utaratibu, si wa holela tu kama akina Ng'wana Malundi. Soma hapo chini kama ulikuwa humjui Ng'wana Malundi

 
Nimepata somo zuri
 
Sioni JINSI YESU ALIVYOWAKOMBOA WANADAMU..mbona dhambi ndo Kwanza zinaongezeka??? Huwa hainiingii akilin hata chembe kusema WANADAMU WALIKOMBOLEWA
 
Sioni JINSI YESU ALIVYOWAKOMBOA WANADAMU..mbona dhambi ndo Kwanza zinaongezeka??? Huwa hainiingii akilin hata chembe kusema WANADAMU WALIKOMBOLEWA
Ukombozi hauji automatically mjomba; hapa duniani hatuishi kwa bahati hapana bali kuna Sheria ambazo lazima uzifuate, na msingi wa sheria hizi ni HAKI.
 
Nafikiri wasomaji wangu kwa sasa mtakuwa mmenielewa kwamba kafara ndiyo kitu pekee kabisa kitakachokupa nguvu kwa haraka zaidi na kwa uhakika.

Yesu Kristo wakati anaondoka duniani wanafunzi wake walimhoji...Je Mwalimu unatuachia nini tutawezaje kutimiza hayo yote uliyotupa tuyateleleze hapa duniani?

Walimuuliza hivyo sababu walikuwa fika kazi ya kuhubiri ni nzito kama huna Imani na nguvu za uponyaji kama alivyokuwa nayo yeye Yesu!!

Mesiya Yesu akawajibu nawaachie Roho Mtakatifu ambaye kwa Jina langu mtatoa mapepo, mtaponya wagonjwa nk

Kwa hiyo msomaji wangu hii njia ya Pili ya roho mtakatifu ni nguvu mno...inahitaji usafi wa roho na mwili na uku wa imani yako ili uwezo kuipokea...Manabii wengi wa kile ambao ni vijana hawaitaki...

Kwa ugumu huo manabii wa kisasa wanatumia ile ya kwanza..ya kupata nguvu kwa kutoa kafara...hii ni ya uhakika na masharti yake huwa ni kutoa Damu yenye Uhai toka kwa kiumbe ambacho Mungu anakipenda!!

Nirushie hapo kwa sasa...!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…