Elections 2010 Nguvu ya Dr.Slaa Mwanza kumpeleka Kikwete tena Mwanza?

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
Habari za kuaminika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mdau huko Mwanza ni kuwa umati aliokusanya Dr.Slaa leo huko Mwanza haujapata kutokea na imemlazimu JK kwenda Mwanza tena kesho..

Naagiza vijana wanitumie picha niweke hapa
 
Tarehe 31 October ni siku ya kupiga kura. Tusiache kwenda kupiga kura tukaanza kulalamika.
 
nani aache kupiga kura.weeeee..nimeclick mpaka kwenye website ya nec jina langu lipo kwenye wapiga kura halali sasa msimamizi wa uchaguzi asinichanganye kabisa tar 31
 
JK sasa anahaha na anatekeleza kila ushauri anaopewa hata kama ukiwa wa kipuuzi ilimradi ushauri uelekee kukilinda kiti cha urais.

Dah rais huyu kweli kiboko
 
vijana nangoja walete nawadipuu hawapigi..aghhh
 
Habari za kuaminika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mdau huko Mwanza ni kuwa umati aliokusanya Dr.Slaa leo huko Mwanza haujapata kutokea na imemlazimu JK kwenda Mwanza tena kesho..

Naagiza vijana wanitumie picha niweke hapa

TBC hawajaonesha kabisa picha.....mwandishi ameongea kutoka kwenye simu....nadhani huo umati hata hauchakaluchiki...
 
JK sasa anahaha na anatekeleza kila ushauri anaopewa hata kama ukiwa wa kipuuzi ilimradi ushauri uelekee kukilinda kiti cha urais.

Dah rais huyu kweli kiboko

yaaani mi najiandaaa kucheka kama kweli habari hizi na ataenda mwanza kesho ntacheka sana.maana najua Mwanza ndo alikoanzia kampeni baada ya kuanguka pale Jangwani..Aiseeeeee
 
mimi niko MZA Nimeshuhudia polisi wa masha wakivurumisha mabomu bila sababu ya msingi. ingawa nao waligwaya nguvu ya watu. SLAA Mwanza ni juu sana. wacha tu
 
nani aache kupiga kura.weeeee..nimeclick mpaka kwenye website ya nec jina langu lipo kwenye wapiga kura halali sasa msimamizi wa uchaguzi asinichanganye kabisa tar 31

naomba url ya website ya nec na mimi nicheck kama jina langu lipo. asante.
 
Habari za kuaminika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mdau huko Mwanza ni kuwa umati aliokusanya Dr.Slaa leo huko Mwanza haujapata kutokea na imemlazimu JK kwenda Mwanza tena kesho..

Naagiza vijana wanitumie picha niweke hapa
71582_164126210272553_100000255259648_460879_628404_n.jpg
Naomba atakayeweza aikuze hiyo picha.
 
TBC hawajaonesha kabisa picha.....mwandishi ameongea kutoka kwenye simu....nadhani huo umati hata hauchakaluchiki...
TBC wanathibitishia wanachi kwamba wanawabeba CCM tutaiona kesho ITV huyuJafari hata simu yake ilikuwa inakatika wakati wameonyesha umati wa LIpumba na Kikwete hawana adabu kabisa lwa kuwadhulumu haki ya kupata habari watanzania sijui TIDO MHANDO kahongwa milioni ngapi jamani
 
Nakukuhakikishieni ndugu hakuna sehemu nilikuwa naogopa kama mwanza maana wana rekodi ya kuibeba CCM kama nao wapo upande wetu naomba kukopa msemo wa mhariri wa daily news wa Kumtangaza (I hereby declare) Dr Wilibroad Slaa kama Rais Mpya wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Infact JK atapata kura za kuhesabika kiganjani (a handful votes) kutoka kwa mashabiki wake wachache tu!

NB: Naona Malaria Sugu amekubali yaishe na ni jambo la kumshukuru Mungu!
 
Back
Top Bottom