KiZunguMukuti
Member
- Oct 7, 2014
- 66
- 66
Haha,waswahili bana ndo maana tunabaki kuwa maskini,seriously mnatumia muda wenu kumdiscourage mwana kwa kumpata bikira,saaa kama wew mabikira huwataki kwanin usibaki ivo ivo kimya kimya tu mpaka mmuandame mwenzenu jamani duuh,haha,bikira wanaeza wakawa sio wazuri kama mnavodai nyie lakin kuna sababu wakawa bora kuliko waliotumika jaman,huo ndo ukweli,na pia kuna sababu mswati anataka mabikira tu na hata kingdoms za zamani kule rome na Scotland pia hata mahali pengi duniani walikua wanaheshimu sana haya mambo,jamani mwenzenu akipiga hatua nzuri mpongezeni sio kuwaunga mkono hao malaya wanao gawagawa k zao afu mnawateyea ati ndo wazuri,acheni hayo mambo banaaa...!